Ucheleweshaji fedha kikwazo afya bure
CHANGAMOTO zinazojitokeza kwenye mpango wa serikali wa kutoa huduma za afya bure katika makundi maalumu zinachangiwa na serikali kushindwa kufikisha fedha za mpango huo kwa wakati. Hayo yalibainishwa jijini Dar...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper12 Mar
CCM yalalamikia ucheleweshaji wa fedha za miradi
NA THEODOS MGOMBA, KONDOA
SERIKALI imeshauriwa kutoa fedha kwa wakati kwenda katika halmashauri baada ya bajeti yake kumalizika.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza na wakazi wa kijiji cha Gwandi kilichoko wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Kinana alisema kumekuwepo na ucheleweshaji wa miradi mbalimbali ya serikali kutokana na fedha kutofika kwa wakati katika halmashauri nyingi.
Alisema hali hiyo imekuwa ikirudisha nyuma kasi ya maendeleo katika maeneo...
10 years ago
Habarileo02 Nov
Ucheleweshaji wa fedha waathiri halmashauri Rukwa
KILIO cha ucheleweshaji au utoaji pungufu wa fedha za bajeti kutoka serikali kuu kimeendelea kutawala halmashauri zote katika Mkoa wa Rukwa, ambazo watendaji wake wameomba juhudi zifanyike kunusuru miradi ya maendeleo kukwama.
9 years ago
StarTV23 Nov
Mfuko Bima ya afya wakanusha tuhuma za  Ucheleweshaji Malipo Vituoni
Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya NHIF umekanusha tuhuma zinazoelekezwa kwake za kuchelewesha kulipa madai kwenye vituo vinavyotumia huduma zake hatua inayochangia kudhorotesha utoaji huduma kwa watumiaji wa bima.
Mfuko huo umesema madai hayo hayana ukweli wowote, kwa kuwa imekuwa ikilipa madai yote yanayowasilishwa makao makuu kwa wakati ambao mara nyingine huwa ni siku chache zaidi ya muda unaotakiwa kisheria kulipa.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Michael Mhando, anakutana na waandishi wa...
10 years ago
Habarileo20 Jun
‘Fedha kikwazo ujenzi nyumba za askari’
WAFUNGWA wamekuwa wakitumika kama nguvu kazi katika ujenzi wa nyumba za askari Magereza na Polisi nchini, lakini tatizo limekuwa ni rasilimali fedha, Bunge la Jamhuri linaloketi mjini Dodoma limeambiwa.
“Wazo la kutumia wafungwa si jipya na kwa kweli wafungwa wamekuwa wakitumika (katika ujenzi wa nyumba za askari) lakini pia pesa zinatakiwa kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya ujenzi,” alisema Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima.
Naibu Waziri huyo alikuwa akijibu swali la...
10 years ago
Mwananchi17 Feb
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mDcUyIhI1RE/U0O_Ny9U2nI/AAAAAAAAG5g/3CqyPtlZAcA/s72-c/Free+health+screening.png)
Maangalizi ya afya Washington DMV...bure
![](http://2.bp.blogspot.com/-mDcUyIhI1RE/U0O_Ny9U2nI/AAAAAAAAG5g/3CqyPtlZAcA/s1600/Free+health+screening.png)
Kama una rafiki, ndugu au mzazi asiyekuwa na bima ya afya tunaomba mshiriki ili tuwe na jamii inayoshamiri na yenye afya njema. Zoezi hili litachukuwa hatua ya kuwaona wale watakaokuwa na hali pungufu ya afya njema mara moja kwa mwezi.
Tarehe: 04/12/2014 (Jumamosi) Saa 3:00 asubuhi hadi mchana 7:00 (waweza kuja...
11 years ago
Mwananchi26 May
Ripoti: Wazee hawapati huduma za afya bure
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
Fedha za sherehe zilizofutwa kutumika kutekeleza sera ya Elimu bure
Kamishna wa Bajeti kutoka Wizara Fedha Bw. John Cheyo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu taarifa za upotoshaji zilizoripotiwa na vyombo vya habari hapa nchini kuwa hazina yakauka, taarifa hizo ni za upotoshaji kwani mfumo wa Serikali wa bajeti unaiwezesha Serikali kupanga vipaumbele vya matumizi kulingana na bajeti ilivyopangwa ambapo fedha zinazokusanywa kupitia mfuko mkuu wa Serikali ndizo hutumika. Kushoto ni Kamishna msaidizi wa Bajeti Bw....
10 years ago
Dewji Blog01 Jul
NSSF yatoa huduma za afya bure Maonesho ya Sabasaba
![Mmoja wa Maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) mbele aliyekaa akitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiwahudumia wateja wao.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_0098.jpg)
Mmoja wa Maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) mbele aliyekaa akitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiwahudumia wateja wao.
Dk. Suzan Lymo toka Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam (wa kwanza kulia) akimuhudumia mteja akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF.
![Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda la NSSF kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba. viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam tayari kwa kuwahudumia wateja wao.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_01042.jpg)
Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma...