Maangalizi ya afya Washington DMV...bure

Wataalam wa afya DMV (HCP Metro DC) wanatuleta huduma ya afya kwa wale wasiokuwa na bima ya afya. Huduma hii itatolewa kwa usawa bila kujali dini,rangi,umri,uraia au uchumi.
Kama una rafiki, ndugu au mzazi asiyekuwa na bima ya afya tunaomba mshiriki ili tuwe na jamii inayoshamiri na yenye afya njema. Zoezi hili litachukuwa hatua ya kuwaona wale watakaokuwa na hali pungufu ya afya njema mara moja kwa mwezi.
Tarehe: 04/12/2014 (Jumamosi)
Saa 3:00 asubuhi hadi mchana 7:00 (waweza kuja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
TASWIRA ZA SIKU YA MAANGALIZI YA AFYA DMV
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Huduma ya BURE ya kukagua afya kwa waishio DMV, Marekani

Wataalam wa afya DMV (HCP Metro DC) wanatuleta huduma ya afya kwa wale wasiokuwa na bima ya afya. Huduma hii itatolewa kwa usawa bila kujali dini,rangi,umri,uraia au uchumi.
Kama una rafiki, ndugu au mzazi asiyekuwa na bima ya afya tunaomba mshiriki ili tuwe na jamii inayoshamiri na yenye afya njema. Zoezi hili litachukuwa hatua ya kuwaona wale watakaokuwa na hali pungufu ya afya njema mara moja kwa mwezi.
Tarehe: 04/12/2014 (Jumamosi)
Saa 3:00 asubuhi hadi mchana 7:00 (waweza kuja...
10 years ago
VijimamboMadaktari kutoka Washington Diaspora Walioletwa na Jumuiya ya Watanzania DMV Watoa Hudua ya Afya Hospitali ya Mnazi Mmoja
10 years ago
Vijimambo
UANGALIZI WA FYA NA MATIBABU WA BURE DMV

11 years ago
GPL
MADEREVA WANAHITAJIKA WASHINGTON DMV
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
MichuziMahojiano na Charles Magali ndani ya Washington DMV
10 years ago
VijimamboMaonyesho ya ndege za kivita Washington DMV Sept 19, 2015
Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa. Maonyesho ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani, yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji.
10 years ago
Vijimambo14 Mar