Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Fedha kikwazo ujenzi nyumba za askari’

Mbunge wa Kasulu mjini, Moses MachaliWAFUNGWA wamekuwa wakitumika kama nguvu kazi katika ujenzi wa nyumba za askari Magereza na Polisi nchini, lakini tatizo limekuwa ni rasilimali fedha, Bunge la Jamhuri linaloketi mjini Dodoma limeambiwa.

“Wazo la kutumia wafungwa si jipya na kwa kweli wafungwa wamekuwa wakitumika (katika ujenzi wa nyumba za askari) lakini pia pesa zinatakiwa kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya ujenzi,” alisema Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima.

Naibu Waziri huyo alikuwa akijibu swali la...

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ucheleweshaji fedha kikwazo afya bure

CHANGAMOTO zinazojitokeza kwenye mpango wa serikali wa kutoa huduma za afya bure katika makundi maalumu zinachangiwa na serikali kushindwa kufikisha fedha za mpango huo kwa wakati. Hayo yalibainishwa jijini Dar...

 

10 years ago

Michuzi

TWIGA CEMENT YAMWAGA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA ASKARI GEREZA WAZO JIJINI DAR

Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alphonso Rodrudges(suti ya bluu) akikabidhi mfano wa hundi yenye kiasi cha Tsh. Millioni Miamoja kwa Uongozi wa Jeshi la Magereza zitakazotumika katika ujenzi wa nyumba zenye hadhi kwa Maofisa na Askari wa Gereza Wazo,Wilayani Kinondoni (wa pili kulia) ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(wa tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja. hafla hiyo imefanyika leo Novemba 17, 2014...

 

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Vijimambo

TWIGA CEMENT YAMWAGA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MRADI WA UJENZI WA MAKAZI YA ASKARI GEREZA WAZO JIJINI DAR ES SALAAM

  Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alphonso Rodrudges(suti ya bluu) akikabidhi mfano wa hundi yenye kiasi cha Tsh. Millioni Miamoja kwa Uongozi wa Jeshi la Magereza zitakazotumika katika ujenzi wa nyumba zenye hadhi kwa Maofisa na Askari wa Gereza Wazo,Wilayani Kinondoni (wa pili kulia) ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(wa tatu kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja. hafla hiyo imefanyika leo Novemba 17, 2014...

 

11 years ago

Michuzi

Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  leo limesaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya ya Ujenzi wa Nyumba 5,000 za gharama nafuu. Utiaji saini makubaliano hayo umefanyika leo mchana katika Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Wabunge wanaotoka Mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)  Mhe.Prof Mark Mwandosya, ambaye Wilaya hiyo Mpya iko katika Jimbo lake la Rungwe Mashariki,  na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TPSF: Urasimu utoaji vibali vya ujenzi kikwazo cha maendeleo

TAASISI ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), imesema Tanzania haiwezi kuendelea kukwamishwa na urasimu wa utoaji wa vibali vya ujenzi ambavyo vinarudisha nyuma juhudi za kujenga mazingira bora ya kufanya biashara...

 

11 years ago

Mwananchi

Nyumba ya DC, askari zateketea kwa moto

Makazi ya Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, Abdallah Uleja yameteketea kwa moto unaodhaniwa kusababishwa na hitilafu ya umeme.

 

10 years ago

Mwananchi

Askari wawili mbaroni kwa fedha bandia

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia askari wawili wa magereza na polisi kwa kukutwa na noti bandia ikiwa pamoja na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani