CCM yalalamikia ucheleweshaji wa fedha za miradi
NA THEODOS MGOMBA, KONDOA
SERIKALI imeshauriwa kutoa fedha kwa wakati kwenda katika halmashauri baada ya bajeti yake kumalizika.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza na wakazi wa kijiji cha Gwandi kilichoko wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Kinana alisema kumekuwepo na ucheleweshaji wa miradi mbalimbali ya serikali kutokana na fedha kutofika kwa wakati katika halmashauri nyingi.
Alisema hali hiyo imekuwa ikirudisha nyuma kasi ya maendeleo katika maeneo...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-AzWQf6ZXn8M/XkavEx_pSlI/AAAAAAALdZg/izDjTsK4qeAoHH6WxF9iAe8-JljsuQT4wCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2BA.jpg)
WAZABUNI WATAJWA KUCHANGIA UCHELEWESHAJI WA MIRADI
![](https://1.bp.blogspot.com/-AzWQf6ZXn8M/XkavEx_pSlI/AAAAAAALdZg/izDjTsK4qeAoHH6WxF9iAe8-JljsuQT4wCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2BA.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-6yEwMud7eGY/XkavErRV_nI/AAAAAAALdZY/Mhao9Ek8nycrvx5xanNIdT0uybP4KcVNACLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2BD.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Ucheleweshaji fedha kikwazo afya bure
CHANGAMOTO zinazojitokeza kwenye mpango wa serikali wa kutoa huduma za afya bure katika makundi maalumu zinachangiwa na serikali kushindwa kufikisha fedha za mpango huo kwa wakati. Hayo yalibainishwa jijini Dar...
10 years ago
Habarileo02 Nov
Ucheleweshaji wa fedha waathiri halmashauri Rukwa
KILIO cha ucheleweshaji au utoaji pungufu wa fedha za bajeti kutoka serikali kuu kimeendelea kutawala halmashauri zote katika Mkoa wa Rukwa, ambazo watendaji wake wameomba juhudi zifanyike kunusuru miradi ya maendeleo kukwama.
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Fedha za miradi zarejeshwa Hazina
JUMLA ya sh 188,405,740,589 sawa na asilimia 55 ya fedha zilizotolewa na Serikali Kuu kwa shughuli za miradi mbalimbali ya maendeleo katika kipindi cha mwaka 2011 na 2012 zimerudishwa Hazina...
11 years ago
Habarileo05 Jul
Fedha zakwamisha miradi Jiji la Arusha
HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ufinyu wa fedha za kukamilisha miradi mbalimbali ya barabara kwa wakati na hivyo kusababisha mtandao wa mawasiliano kuwa mgumu.
10 years ago
Habarileo06 Sep
Upungufu wa fedha wakwamisha miradi ya maendele
UPUNGUFU mkubwa wa fedha uliopo katika Halmashauri ya wilaya ya Kilwa mkoani Lindi umesababisha baadhi ya miradi kutokamilika.
11 years ago
Habarileo26 Jul
Mbunge wa Busega kukabili wanaopora fedha za miradi
MBUNGE wa jimbo la Busega mkoani Simiyu, Dk Titus Kamani amesema hatavumilia watu wanaokula fedha za miradi ya maendeleo jimboni humo.
10 years ago
Habarileo27 Jun
Fedha za maji zisitumiwe miradi mingine - Mwanri
SERIKALI imeagiza halmashauri nchini kutobadili matumizi ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya miradi ya maji bila kupata ruhusa kutoka ngazi husika.
10 years ago
Mwananchi17 Feb