Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZABUNI WATAJWA KUCHANGIA UCHELEWESHAJI WA MIRADI

 Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa nchini Brigedia Jenerali Charles Mbuge akizungumza na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Simiyu na watendaji wa Jeshi  mara baada ya kukagua mradi wa Ujenzi wa wodi ya wazazi  unaendela katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu Mjini Bariadi, wakati wa ziara yake Mkoani humo Februari 13, 2020  yenye lengo la kukagua miradi mbalimbali ya ujenzi inayotekelezwa na Shirika la Uzalishaji mali la JKT(SUMA JKT). Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka(wa pili kushoto)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAZABUNI CHANZO UCHELEWESHJI WA MIRADI

  Na Stella Kalinga, Simiyu RSMkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) nchini Brigedia Jenerali Charles Mbuge  amesema kuwa baadhi ya wazabuni wanaouza vifaa vya ujenzi wamekuwa wakiuza vifaa kwa bei ya juu na kuchelewesha vifaa hivyo pale vinapohitajika, jambo linalopelekea baadhi ya miradi inayotekelezwa na Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi hilo (SUMA JKT) kutokamilika kwa wakati.
Brigedia Jenerali Mbuge ameyasema hayo Februari 13, 2020 mjini Bariadi wakati akiwa katika ziara ya kukagua...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

CCM yalalamikia ucheleweshaji wa fedha za miradi


NA THEODOS MGOMBA, KONDOA
SERIKALI imeshauriwa kutoa fedha kwa wakati kwenda katika halmashauri baada ya bajeti yake kumalizika.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alisema hayo juzi alipokuwa akizungumza na wakazi wa kijiji cha Gwandi kilichoko wilayani Chemba mkoani Dodoma.
Kinana alisema kumekuwepo na ucheleweshaji wa miradi mbalimbali ya serikali kutokana na fedha kutofika kwa wakati katika halmashauri nyingi.
Alisema hali hiyo imekuwa ikirudisha nyuma kasi ya maendeleo katika maeneo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Magufuli amshukuru Balozi wa Japan nchini kuchangia miradi ya maendeleo

DSC_8983

Balozi wa Japan nchini, Mh. Masaki Okada (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Hussein Kidanto wakitiliana saini mkataba wa fedha za ruzuku shilingi milioni 70/ zilizotolewa na serikali ya Japan kwa ajili ya kununua magari mawili ya wagonjwa (Ambulance). Tukio hilo lilishuhudiwa na viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na Mkurugenzi wa Hospitali hiyo aliyemaliza muda wake Dkt. Marina Njelekela.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na...

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI AMSHUKURU BALOZI WA JAPAN NCHINI KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO‏

Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akitoa shukrani kwa serikali ya Japan inayowakilishwa na Balozi Masaki Okada baada ya kushuhudia utiaji saini wa mikataba ya fedha za ruzuku shilingi milioni 235 sawa na dola za Kimarekani 136,015 zilizotolewa na serikali ya Japan. Balozi wa Japan nchini, Mh. Masaki Okada (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Hussein Kidanto...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA RUFIJI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambae pia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid wakati wa hafla ya kuchangia miradi ya maendeleo ya Jimbo la Rufiji iliyofanyika jana jioni Oktoba 26,2014 katika ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es salaam, ambapo jumla ya shilingi milioni 903 zilipatinana na kuweza kuvuka malengo ya zilizokuwa zikihitajika awali shilingi milioni 500.Makamu wa Rais wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ucheleweshaji fedha kikwazo afya bure

CHANGAMOTO zinazojitokeza kwenye mpango wa serikali wa kutoa huduma za afya bure katika makundi maalumu zinachangiwa na serikali kushindwa kufikisha fedha za mpango huo kwa wakati. Hayo yalibainishwa jijini Dar...

 

10 years ago

Habarileo

Ucheleweshaji wa fedha waathiri halmashauri Rukwa

KILIO cha ucheleweshaji au utoaji pungufu wa fedha za bajeti kutoka serikali kuu kimeendelea kutawala halmashauri zote katika Mkoa wa Rukwa, ambazo watendaji wake wameomba juhudi zifanyike kunusuru miradi ya maendeleo kukwama.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazabuni Mbeya wadai kufilisika

MATOKEO ya mitihani ya kidato cha nne mwaka huu huenda yakawa mabaya hasa kwa shule zilizo chini ya serikali mkoani Mbeya kutokana na wazabuni wanaotoa huduma ya chakula kusitisha kutokana...

 

9 years ago

Mwananchi

Wazabuni kugoma, kwenda kortini

Wazabuni wanaosambaza chakula katika taasisi za Serikali zikiwamo shule za sekondari na magereza mkoani hapa, wanatarajia  kugoma na kufungua kesi ya madai wakitaka kulipwa Sh2 bilioni wanazodai tangu mwaka 2008.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani