Fedha za shule kutopelekwa halmashauri
SERIKALI sasa inatarajia kuanza utaratibu mpya wa kupeleka fedha za ruzuku katika shule za msingi na sekondari nchini moja kwa moja kwenye akaunti ya shule badala ya kupitia katika halmashauri. Hayo yamebainishwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
‘Serikali ichunguze watoto kutopelekwa shule’
SERIKALI imetakiwa kuacha kuwakamata wazazi ambao watoto wao wamefaulu kujiunga na kidato cha kwanza, lakini hadi sasa hawajaripoti na badala yake ichunguze kinachosababisha washindwe kuwapeleka shule. Akizungumza na Tanzania Daima...
10 years ago
Habarileo02 Nov
Ucheleweshaji wa fedha waathiri halmashauri Rukwa
KILIO cha ucheleweshaji au utoaji pungufu wa fedha za bajeti kutoka serikali kuu kimeendelea kutawala halmashauri zote katika Mkoa wa Rukwa, ambazo watendaji wake wameomba juhudi zifanyike kunusuru miradi ya maendeleo kukwama.
11 years ago
Habarileo31 Jan
Takukuru yapewa rungu fedha za halmashauri
KAMATI ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala imetaka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuanzisha dawati maalumu katika Wizara ya Fedha, kufuatilia kwa karibu fedha zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika halmashauri mbalimbali nchini.
9 years ago
Habarileo15 Nov
Halmashauri zakumbushwa shule kuachana na michango
HALMASHAURI za jiji la Dar es Salaam zimetakiwa kutenga fungu ili kusaidia kupunguza michango mashuleni na kuendana na agizo lililotolewa na rais kuhusu elimu kutolewa bure kuanzia mwaka 2016.
10 years ago
StarTV04 Mar
Udhibiti matumizi fedha za umma, halmashauri kushindanishwa kiutendaji.
Na Gloria Matola,
Dar es Salaam.
Serikali inatarajia kuanza utaratibu mpya wa kuzishindanisha Halmashauri zote nchini kiutendaji ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wake wa kuondoa matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kutoa tuzo kwa zile zitakazoshinda kwa matumizi mazuri ya fedha hizo.
Tanzania ina jumla ya Halmashauri 168 zilizoshiriki ambapo 49 miongoni mwao zimeweza kukidhi mahitaji ya shindano hilo.
Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Utumishi Hawa Ghasia amesema hivi sasa...
10 years ago
Dewji Blog01 Aug
Mkurugenzi wa Mtendaji wilaya ya Hanang’ akanusha tuhuma za halmashauri yake kutafuna fedha zaidi ya Tsh Milioni 500
Na woinde shizza wa libeneke la kaskazini blog
MKURUGENZI mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Filex Mabula amesema taarifa zilizotolewa kuwa halmashauri hiyo imetumia vibaya zaidi ya sh508.6 milioni fedha za shule na za kusambaza maji vijijini, zilizotolewa na benki ya dunia, siyo za kweli.
Akizungumza na waandisi wa habari jana, Mabula alisema halmashauri hiyo ilitoa sh225.5 milioni kwenye shule za bweni kwa ajili ya chakula kwa mwaka 2013 hadi 2014 sawa na asilimi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FUh4N1sv_kQ/UIfW2jJ_cGI/AAAAAAAAC-I/3LlBzQeJxdU/s72-c/TZ_Manyara_wilaya.gif)
MKURUGENZI WA MTENDAJI WILAYA YA HANANG' AKANUSHA TUHUMA ZA HALMASHAURI YAKE KUTAFUNA FEDHA ZAIDI YA TSH MILINIONI 500
![](http://4.bp.blogspot.com/-FUh4N1sv_kQ/UIfW2jJ_cGI/AAAAAAAAC-I/3LlBzQeJxdU/s640/TZ_Manyara_wilaya.gif)
MKURUGENZI mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Filex Mabula amesema taarifa zilizotolewa kuwa halmashauri hiyo imetumiavibaya zaidi ya sh508.6 milioni fedha za shule na za kusambaza maji vijijini, zilizotolewa na benki ya dunia, siyo za kweli.
Akizungumza na waandisi wa habari jana, Mabula alisema halmashauri hiyoilitoa sh225.5 milioni kwenye shule za bweni kwa ajili ya chakula kwa mwaka 2013 hadi 2014 sawa na asilimi 281.9 ya fedha zilizoidhinishwa...