MKURUGENZI WA MTENDAJI WILAYA YA HANANG' AKANUSHA TUHUMA ZA HALMASHAURI YAKE KUTAFUNA FEDHA ZAIDI YA TSH MILINIONI 500
![](http://4.bp.blogspot.com/-FUh4N1sv_kQ/UIfW2jJ_cGI/AAAAAAAAC-I/3LlBzQeJxdU/s72-c/TZ_Manyara_wilaya.gif)
Na woinde shizza.
MKURUGENZI mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Filex Mabula amesema taarifa zilizotolewa kuwa halmashauri hiyo imetumiavibaya zaidi ya sh508.6 milioni fedha za shule na za kusambaza maji vijijini, zilizotolewa na benki ya dunia, siyo za kweli.
Akizungumza na waandisi wa habari jana, Mabula alisema halmashauri hiyoilitoa sh225.5 milioni kwenye shule za bweni kwa ajili ya chakula kwa mwaka 2013 hadi 2014 sawa na asilimi 281.9 ya fedha zilizoidhinishwa...
Michuzi