Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Halmashauri zakumbushwa shule kuachana na michango

HALMASHAURI za jiji la Dar es Salaam zimetakiwa kutenga fungu ili kusaidia kupunguza michango mashuleni na kuendana na agizo lililotolewa na rais kuhusu elimu kutolewa bure kuanzia mwaka 2016.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Halmashauri za wilaya, manispaa zakumbushwa kujenga vyoo mashuleni

DSC08808

Mwakilishi wa shirika la WaterAid Tanzania, Dk.Ibrahimu Kabole, akitoa taarifa yake  kwenye ufungaji wa semina ya siku mbili iliyohusu usafi wa afya na mazingira iliyofanyika kwenye ukmbi wa mikutano wa Aqua vitae hotel mjini Singida.Wa kwanza kushoto ni mwenyekiti wa bodi ya SEMA, Joramu Allute na katikati ni mdau wa maendeleo na mfanyabiashara maarufu mkoa wa Singida, Salum Nagji.

Na Nathaniel Limu, Singida

HALMASHAURI za Wilaya na manispaa ya Singida, zimehimizwa kuhakikisha shule zao...

 

11 years ago

Mwananchi

Michango hii katika shule za msingi ni mzigo

Jana tulichapisha habari kuhusu malalamiko ya baadhi ya wazazi kutozwa kiasi kikubwa cha fedha kama michango ya watoto wao wanaojiunga na darasa la kwanza.

 

10 years ago

GPL

WAZAZI WALALAMIKIA MICHANGO SHULE MSIMBAZI MSETO

Sehemu ya geti la Shule ya Msingi Msimbazi Mseto. BAADHI ya wazazi wenye watoto wanaosoma  Shule ya Msingi Msimbazi Mseto jijini Dar es Salaam wamelalamika  michango mingi shuleni hapo wakati hali yao ya maisha ni duni kwa kipato. Akizungumza na mtandao huu, mwenyekiti wa shule hiyo iliyoko Msimbazi Centre, jijini Dar e Salaam, January Lwambano,  alisema  utaratibu ulioko wa michango ni wa miaka minane na mara nyingi...

 

5 years ago

Michuzi

WAKUU WA SHULE ENDELEENI KUDHIBITI MICHANGO HOLELA-MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Wadau wa Elimu wa Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, kwenye kikao cha maendeleo ya elimu, kilichofanyika katika ukumbi wa Narung’ombe, Machi 14, 2020.
Wadau wa Elimu wa Wilaya ya Ruangwa, wakipiga makofi, wakati wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwenye kikao cha maendeleo ya elimu, kilichofanyika katika ukumbi wa Narung’ombe, Ruangwa, Lindi. Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

………………………………………

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa...

 

10 years ago

Habarileo

Fedha za shule kutopelekwa halmashauri

SERIKALI sasa inatarajia kuanza utaratibu mpya wa kupeleka fedha za ruzuku katika shule za msingi na sekondari nchini moja kwa moja kwenye akaunti ya shule badala ya kupitia katika halmashauri. Hayo yamebainishwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.

 

11 years ago

GPL

FLAVIANA MATATA, PSPF WATOA MABEGI KWA WANAFUNZI 650 WA SHULE KATIKA HALMASHAURI ZA LINDI NA NACHINGWEA MKOANI LINDI

Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin pamoja na Mwanamitindo Flaviana Matata wakitoa mabegi kwa mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi. Jumla ya wanafunzi 650 wa shule zilizopo katika  Halmashauri za Lindi na Nachingwea  mkoa wa Lindi wamenufaika na msaada huo wa mabegi hayo yenye vifaa mbalimbali vya shule, msaada huo umetolewa kwa pamoja kati ya PSPF na...

 

10 years ago

StarTV

Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Morogoro.

 

Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.

Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...

 

10 years ago

Habarileo

Diwani akerwa na michango shuleni

DIWANI wa Kata ya Hanga wilayani hapa, Kassim Ntara (CCM), amelalamikia kuwepo kwa michango mingi inayofikia hadi Sh 300,000 badala ya Sh 20,000 wanayotozwa wazazi katika shule za sekondari za Kata.

 

9 years ago

Habarileo

‘Wabaneni waajiri wanaochelewesha michango’

MAMLAKA ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), imeikumbusha mifuko hiyo kuhakikisha inawabana waajiri wanaochelewesha michango ya wanachama wao kwa kuwa sheria inaruhusu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani