Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michango hii katika shule za msingi ni mzigo

Jana tulichapisha habari kuhusu malalamiko ya baadhi ya wazazi kutozwa kiasi kikubwa cha fedha kama michango ya watoto wao wanaojiunga na darasa la kwanza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI SAMPULI ZA MADAWATI KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA MADARASA YA AWALI KATIKA MANISPAA YA LINDI MJINI

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Afisaelimu wa Mkoa wa Lindi Ndugu Gift Kyando mara baada ya kuwasili kwenye viwanja wa Shule ya Msingi Rahaleo iliyoko Manispaa ya Lindi Mjini kwa ajili ya kukabidhi sampuli za madawati aliyoyatoa kupitia taasisi yake kwenye Shule za Msingi kwa ajili ya madarasa ya awali katika Manispaa ya Lindi Mjini tarehe 15.12.2014.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na binti Naida Seleman...

 

9 years ago

Michuzi

Serikali yafuta rasmi ada kwa elimu ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne na michango yote katika elimu ya msingi

Serikali imeamua kutoa elimu pasipo malipo kwa elimu ya msingi kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha nne, kuanzia mwaka wa masomo wa 2016 kama ilivyoahidi.  Azma hii ya serikali ni katika kutekeleza sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ambayo ina lengo la kuhakikisha kwamba watoto wote wa Tanzania wanapata Elimu bila kikwazo ikiwemo ada au malipo.  Katika kutekeleza maamuzi hayo, ada zote zilizokuwa zikilipwa kwa ajili ya elimu ya kidato cha kwanza hadi cha nne zimefutwa.Pia, waraka wa...

 

10 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Airtel kuwaunganisha wadau katika kusaidia shule ya msingi Kumbukumbu-Dar

 ·         Wafanyakazi wa Airtel kutembea ili kukusanya jumla ya zaidi ya milioni 10.·         Wafanyakazi wa Airtel kukarabati darasa na kununa madawati shule ya kumbukumbu.
Wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mpango wake maalumu wa “Airtel tunakujali” imeandaa matembezi ya hisani huku ikialika wadau wote wenye wito wa kuchangia elimu kuungamkono jitiada hizo ili kukamilisha lengo la kuikarabati shule ya msingi kumbukumbu iliyopo kinondoni jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI JIJINI MBEYA

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

“PRESS RELEASE” TAREHE 01.02. 2014.



MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI.


gari ambalo halikuweza kufahamika namba zake za usajili wala jina la dereva wake lilimgonga mtembea kwa miguu mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi mbuyuni aliyetambulika kwa jina la daima faida (08) mkazi wa mbuyuni na kusababisha kifo chake papo hapo. ajali hiyo ilitokea majira ya saa 06:55hrs asubuhi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shule ya msingi Green Hill ya jijini Dar yafanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba

Na:George Binagi-GB Pazzo

Shule ya Msingi Green Hill iliyopo Ilala Mkoani Dar es salaam imekuwa miongoni mwa shule bora zilizofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba, uliofanyika mwezi Septemba mwaka huu kote nchini.

Katika Matokeo yaliyotangazwa juzi na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini NECTA Dk.Charles Msonde, ufaulu wa Kitaifa mwaka huu umepanda kwa asilimia 10.85 kutoka asilimia 56.99 za mwaka jana, ambapo wanafunzi waliofaulu ni 518,034 kati ya 775,273 waliosahiliwa...

 

11 years ago

Michuzi

Rotary Club Dar es Salaam wazindua mabomba ya maji safi na salama ya kunywa katika Shule ya msingi ya Kijitonyama

Wawakilishi kutoka Rotary Club Dar es Salaam wakizindua mabomba ya maji safi na salama ya kunywa katika Shule ya msingi ya Kijitonyama kupitia mradi wa Rotary wa “Maji kwa Maisha”. Kutoka kushoto ni Rais wa klabu ya Rotary ya Mikocheni John Gitonga akiwa na Naibu Mwenyekiti wa Rotary Tanzania Sharmila Bhatt, mratibu wa Elimu kutoka manispaa ya Kinondoni Alexandrina Kahandoma na kulia ni Jane Pesha kutoka klabu Rotary ya Mikocheni. Mradi huo uligharimu kiasi cha Sh 15 milioni.

 

9 years ago

Habarileo

Halmashauri zakumbushwa shule kuachana na michango

HALMASHAURI za jiji la Dar es Salaam zimetakiwa kutenga fungu ili kusaidia kupunguza michango mashuleni na kuendana na agizo lililotolewa na rais kuhusu elimu kutolewa bure kuanzia mwaka 2016.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani