Mkurugenzi wa Mtendaji wilaya ya Hanang’ akanusha tuhuma za halmashauri yake kutafuna fedha zaidi ya Tsh Milioni 500
Na woinde shizza wa libeneke la kaskazini blog
MKURUGENZI mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Filex Mabula amesema taarifa zilizotolewa kuwa halmashauri hiyo imetumia vibaya zaidi ya sh508.6 milioni fedha za shule na za kusambaza maji vijijini, zilizotolewa na benki ya dunia, siyo za kweli.
Akizungumza na waandisi wa habari jana, Mabula alisema halmashauri hiyo ilitoa sh225.5 milioni kwenye shule za bweni kwa ajili ya chakula kwa mwaka 2013 hadi 2014 sawa na asilimi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMKURUGENZI WA MTENDAJI WILAYA YA HANANG' AKANUSHA TUHUMA ZA HALMASHAURI YAKE KUTAFUNA FEDHA ZAIDI YA TSH MILINIONI 500
Na woinde shizza.
MKURUGENZI mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, Filex Mabula amesema taarifa zilizotolewa kuwa halmashauri hiyo imetumiavibaya zaidi ya sh508.6 milioni fedha za shule na za kusambaza maji vijijini, zilizotolewa na benki ya dunia, siyo za kweli.
Akizungumza na waandisi wa habari jana, Mabula alisema halmashauri hiyoilitoa sh225.5 milioni kwenye shule za bweni kwa ajili ya chakula kwa mwaka 2013 hadi 2014 sawa na asilimi 281.9 ya fedha zilizoidhinishwa...
5 years ago
MichuziMKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI APOKEA MICHE 500 YA MITI
Mwenyekiti wa Programu ya Tunandoto wa pili kushoto Godlisten Koka akimkabithi Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Monduli Anderson Ulaya miche 500 ya miti kutoka katika uongozi wa Programu yao inayotekelezwa kwa kushirikiana na kanisa la Free Pentecostal church of Tanzania-FPCT Monduli juzi (picha na WOINDE SHIZZA) Na Woinde Shizza,MONDULI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli Stephen Anderson Ulaya jana amepokea miche 500 ya miti kutoka katika...
10 years ago
MichuziFILIKUNJOMBE AKABIDHI MSAADA WENYE THAMAMANI YA ZAIDI YA TSH MILIONI 32 HOSPITALI YA WILAYA YA LUDEWA
Filikunjombe mwenye T-Shet ya CCM akisaidiana na watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Ludewa kushusha vifaa mbali mbali.
Moja kati ya magari ya wagonjwa yaliyotolewa na mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe jimboni mwake kusaidia kubeba ...
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Filikunjombe akabidhi msaada wenye thamani ya zaidi ya tsh milioni 32 hospitali ya wilaya ya Ludewa
10 years ago
Habarileo30 Jun
Ofisa Mtendaji atupwa mahabusu kwa kutafuna fedha za shule
MKURUGENZI wa halmashauri ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Rustika Turuka amemweka mahabusu Ofisa Mtendaji Kata ya Kining’inila John Maduhu, kwa tuhuma za kutafuna Sh milioni 21 za ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari Kining’inila.
9 years ago
MichuziWATUMISHI WANNE HALMASHAURI YA WILAYA YA HAI WASIMAMISHWA KAZI NI BAADA YA KUBAINIKA KUKWAPUA ZAIDI YA MILIONI 70
HALMASHAURI ya wilaya ya Hai,mkoani Kilimanjaro, imewasimamisha kazi watumishi wake wanne kwa tuhuma za kughushi hati za mishahara na kughushi nyaraka zilizofanikisha kuchukua jumla ya kiasi cha sh Mil 73.4 zikiwemo fedha za malipo ya muda wa kazi wa ziada kwa madaktari na wauguzi wa Hospitali teule ya Machame.
Tuhuma hizo pia zina mtaja Mweka hazina wa Hosptali hiyo anayedaiwa kushirikiana na watumishi wa halmashauri hiyo kufanya ubadhirifu...
10 years ago
MichuziMKURUGENZI MTENDAJI TRL ASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA MALIPO KINYUME CHA MKATABA
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Reli nchini(TRL),Mhandisi Kapallo Kisamfu amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa malipo ya Sh. Bilioni 230 ya mabehewa ya Mizigo yenye kasoro pamoja na kufanya malipo ya mabehewa yote kabla ya kukamilika.
Akitangaza maamuzi hayo ya kusimimishwa kwa Mkurugenzi huyo leo jijini Dar es Salaam baada ya ripoti ya kamati iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi (ambaye sasa ni Waziri wa Afrika Mashariki), Dk. Harrison...
5 years ago
MichuziRC Wangabo aagiza “Special Audit†huku zaidi ya Milioni 660 kutofahamika matumizi yake katika ujenzi hospitali ya Wilaya.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuagiza Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa kuhakikisha ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG) mkoani humo inafanya ukaguzi maalum (special Audit) wa mapato ya ndani na matumizi yake kutokana na zaidi ya shilingi milioni 885 kuwemo mifukoni mwa wadaiwa (defaulters) wakiwemo watendaji wa vijiji na kata hali mbayo inazorotesha utekelezaji wa mipango ya serikali ikiwemo kushindwa kuchangia 10% ya wanawake, vijana na watu wenye...
11 years ago
Michuzi21 May
PROFESA ANA TIBAIJUKA AKABIDHI RASMI ZAWADI YAKE YA TSH.9,500,000 MAMA SHUJAA WA CHAKULA
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10