Uhaba waikabili Muhimbili licha ya kupata Mashine Ya Kupumulia moja
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imepokea msaada wa mashine moja ya kupumulia lakini bado inakabiliwa na uhaba wa mashine hizo kwani kabla ya msaada huo ilikuwa na mashine 12 za zamani.
Kulingana na viwango vya kimataifa vya Shirika la Afya Duniani WHO, hospitali kama ya Muhimbili inatakiwa kuwa na vitanda 150 vya wagonjwa mahututi na mashine za kupumulia.
Mashine iliyotolewa msaada ni ya kisasa ikiwa na thamani ya Dola elfu 36 za Marekani, ambazo ni sawa na Shilingi milioni 80 za...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV13 Nov
Uhaba wa fedha Waikabili timu ya Kikapu mkoa wa Mwanza.
Chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Mwanza MRBA kinakabiliwa na ukata wa fedha za kuendesha kambi ya timu ya mkoa inayojiandaa kwa michuano ya taifa cup itakayoanza novemba 21 mwaka huu mkoani Dodoma.
Katibu wa MRBA Shomari Almasi ametoa wito kwa wadau wa michezo mkoani hapo kukisaidia chama hicho ili kuiwezesha timu ya mkoa kushiriki vyema michuano ya Taifa CUP ambayo mkoa wa Mwanza umeshindwa kushiriki kwa miaka minne mfululizo.
StarTV imefika katika viwanja vya BOT pasiansi Mwanza mahali...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Hospitali ya Nyerere yapewa mashine ya kupumulia
HOSPITALI ya Wilaya ya Serengeti iliyoko katika mji wa Mugumu, Nyerere DDH, imekabidhiwa msaada wa mashine maalumu ya kuwasaidia wagonjwa kupumua. Mashine hiyo yenye thamani ya sh milioni 35 ilikabidhiwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-g-sq9dBjxnk/XpiKhm7VAOI/AAAAAAAAJHU/STSJF5oXiUQLsV8MnVMn4u_8FV7s7RnzACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200416_110636_444.jpg)
UTAFITI WA MASHINE YA KUSAIDIA KUPUMULIA KWA WAGONJWA WA COVID 19 WAENDELEA NA TANALEC
![](https://1.bp.blogspot.com/-g-sq9dBjxnk/XpiKhm7VAOI/AAAAAAAAJHU/STSJF5oXiUQLsV8MnVMn4u_8FV7s7RnzACLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200416_110636_444.jpg)
Mwenyekiti wa Mtaa wa Levolosi Seif Abdi akipokea vifaa kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
![](https://1.bp.blogspot.com/-yMdgF9XeoCs/XpiJgRCgcQI/AAAAAAAAJGY/LB8DmUIOAhYrk-5R37_zSe3qGEjG1lSWgCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200416_111020_267.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-UtBxeNtrtr8/XpiJ-lCQiMI/AAAAAAAAJGo/A7PKUYqpTvcuXM6EoJh1XyZRxu31IudGgCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200416_104320_259.jpg)
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA ULINZI YA SGA YATOA MSAADA WA MASHINE YA KUPUMULIA NA MASHUKA WODI YA WATOTO MWANANYAMALA
10 years ago
Mtanzania12 May
Muhimbili yakumbwa na uhaba wa damu
NA TUNU NASSOR , DAR ES SALAAM
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imekumbwa na uhaba wa damu hali ambayo imeulazimu uongozi wa hospitali hiyo kuomba msaada wa dharura kwa Serikali na watu binafsi.
Uongozi huo pia umewaomba Watanzania, mashirika ya umma, makampuni na watu binafsi kujitokeza kusaidia kuchangia damu kuokoa maisha ya wagonjwa wanaopelekwa katika hospitali hiyo.
Taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Wateja, Aminiel Aligaesha, ilieleza kuwa kwa...
9 years ago
Habarileo30 Nov
Muhimbili yakabiliwa na uhaba vyumba vya `ICU’
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam inakabiliwa na uhaba wa wadi za wagonjwa mahututi (ICU) kutokana na mahitaji ya huduma hiyo kwa wagonjwa hospitalini hapo.
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Muhimbili yapokea mashine
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imepokea msaada wa mashine yenye thamani ya sh milioni 24 kutoka Serikali ya India. Mashine hiyo itatumiwa na wagonjwa wenye matatizo ya figo waliopo katika wodi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/a8ZZitQ2zfVcrFjlngfWMBYzbvVUsciyRq9uQwh7HCTC5E5a-8w0NfQumOQ1oheQj2L06ddgyzhz87X4RbGLUxZoDpEyjPUv/mahaba.jpg)
LICHA YA KUPATA BWANA MPYA; JOHARI: SIACHANI NA RAY!
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Mashine ya MRI Muhimbili yaharibika tena
Veronica Romwald na Allen Msapi (GHI), Dar es Salaam
MASHINE ya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali ijulikanayo kama Magnetic Reasonance Imaging (MRI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, imeharibika tena baada ya kufanya kazi kwa siku mbili, tangu ilipofanyiwa matengenezo na Kampuni ya Philips.
Mashine hiyo ilifanyiwa matengenezo kutokana na shinikizo la Rais Dk. John Magufuli aliyefanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo na kuamuru zifanyiwe marekebisho haraka.
Katika ziara yake hiyo,...