Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muhimbili yapokea mashine

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili imepokea msaada wa mashine yenye thamani ya sh milioni 24 kutoka Serikali ya India. Mashine hiyo itatumiwa na wagonjwa wenye matatizo ya figo waliopo katika wodi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Muhimbili yapokea mashine ya ventilator ya kusaidia wagonjwa kupumua

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN), Profesa Lawrence Mseru akipokea mashine ya ventilator ya kusaidia wagonjwa kupumua endapo wamezidiwa baada ya kuugua. Kushoto ni Mkurugenzi Mauzo wa Mashariki ya Kati na Afrika, Qasem Sumrein akikabidhi mashine hiyo leo. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN), Profesa Lawrence Mseru akitoa ufafanuzi baada ya kupokea mashine hiyo. Daktari Bingwa wa Magonjwa Mahututi na Uzingizi, Moa Kalunga katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Zanzibar yapokea mashine yenye uwezo wa kupima watu 288 kwa siku

Tanzania imekuwa ikikosolewa kwa kutokutoa takwimu za corona kwa wakati.

 

9 years ago

Mtanzania

Mashine ya MRI Muhimbili yaharibika tena

mictuVeronica Romwald na Allen Msapi (GHI), Dar es Salaam

MASHINE ya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali ijulikanayo kama Magnetic Reasonance Imaging (MRI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, imeharibika tena baada ya kufanya kazi kwa siku mbili, tangu ilipofanyiwa matengenezo na Kampuni ya Philips.

Mashine hiyo ilifanyiwa matengenezo kutokana na shinikizo la Rais Dk. John Magufuli aliyefanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo na kuamuru zifanyiwe marekebisho haraka.

Katika ziara yake hiyo,...

 

9 years ago

Michuzi

MAFUNDI WAZISHUGULIKIA MASHINE ZA MRI NA CT-SCAN MUHIMBILI.

MAFUNDI kutoka kampuni ya Philips wanaendelea na matengenezo ya mashine za MRI na CT-SCAN katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zilizopata hitilafu za kiufundi hivi karibuni.
Akizungumza ofisini kwake leo hii Mkuu wa Idara ya Uhusiano Hospitali ya Taifa Muhimbili Bw. Aminiel Buberwa Aligaesha amesema mafundi wapo katika eneo la kazi wakitengeneza hizo mashine ili ziweze kurudi katika hali yake ya kawaida.
“Tumepewa siku tatu kukamilisha ukarabati wa hizi mashine hivyo wananchi wawe na subira...

 

11 years ago

Michuzi

INDIA YAKABIDHI MASHINE YA USAFISHAJI DAMU MUHIMBILI

Serikali ya India imekabidhi msaada wa mashine ya kusafishia damu (hemodialysis) kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili yenye thamani ya dola 15,000 za Marekani. Akikabidhi msaada huo, Balozi wa India hapa nchini Bw. Debnath Shaw amesema mashine hii itasaidia juhudi za hospitali katika kutoa huduma za usafishaji damu. Bw. Shaw amesema Serikali yake itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania na wa Wadau wa Sekta ya Afya kwa kupitia Mpango wa Ubia (Public Private Partnership-PPP) ili...

 

9 years ago

Mwananchi

Agizo la Rais laponyesha mashine ya MRI Muhimbili

Agizo la Rais John Magufuli la kutaka mashine za uchunguzi wa magonjwa za CT Scan na MRI za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, limetekelezwa baada ya mashine moja ya MRI kuanza kufanya kazi saa tisa alasili jana.

 

9 years ago

Vijimambo

HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAPATIWA MASHINE YA MATIBABU YA MOYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk Hussein Kidanto (kushoto) akipokea mashine za matibabu ya kufuatilia mwenendo wa mapigo ya moyo kutoka kwa Mwenyekiti wa taasisi ya Human Welfare Trust, Gulab Shah, kwenye makabidhiano ya mashine hizo zilizotolewa ikiwa ni msaada kutoka kwa wanachama wa taasisi hiyo, jijini Dar es Salaam jana. Wengine pichani ni wanachama wa taaisi hiyo

 

9 years ago

MillardAyo

Mengine kutoka Hospitali ya Muhimbili kuhusu mashine za CT Scan..

Agizo la Rais Magufuli la kupatikana kwa mashine mpya ya CT Scan katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili limeonekana kuzaa matunda baada ya Serikali kununua mashine mpya ambayo imegharimu dola za Kimarekani milioni 1.7. Kutokana na mashine ya awali kuharibika kila wakati Serikali imegharamia mashine mpya ambayo imeelezwa kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya kazi […]

The post Mengine kutoka Hospitali ya Muhimbili kuhusu mashine za CT Scan.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

CCM Blog

HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU

Hospitali ya Taifa Muhimbili, imefunga mashine tatu za kusafisha damu   katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana zenye thamani ya Shilingi Milioni 210.
Taarifa hiyo imetolewa leo Aprili 26, 2020 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma wa Hospitali hiyo, Aminiel Aligaesha na kuongeza kuwa, Hospitali hiyo pia inatarajia kufunga mashine moja ya kumsaidia mgonjwa kupumua kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa waliopata maambukizi hayo.
"Tayari wagonjwa wanaohitaji kusafishwa damu wameanza kuhudumiwa ,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani