Agizo la Rais laponyesha mashine ya MRI Muhimbili
Agizo la Rais John Magufuli la kutaka mashine za uchunguzi wa magonjwa za CT Scan na MRI za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, limetekelezwa baada ya mashine moja ya MRI kuanza kufanya kazi saa tisa alasili jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Nov
Mashine ya MRI Muhimbili yaharibika tena
Veronica Romwald na Allen Msapi (GHI), Dar es Salaam
MASHINE ya uchunguzi wa magonjwa mbalimbali ijulikanayo kama Magnetic Reasonance Imaging (MRI) iliyopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, imeharibika tena baada ya kufanya kazi kwa siku mbili, tangu ilipofanyiwa matengenezo na Kampuni ya Philips.
Mashine hiyo ilifanyiwa matengenezo kutokana na shinikizo la Rais Dk. John Magufuli aliyefanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo na kuamuru zifanyiwe marekebisho haraka.
Katika ziara yake hiyo,...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WFOFjlsEtx4/VlROLk-mz_I/AAAAAAAIIL8/C2ifJ2zFA-g/s72-c/download.jpg)
MAFUNDI WAZISHUGULIKIA MASHINE ZA MRI NA CT-SCAN MUHIMBILI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-WFOFjlsEtx4/VlROLk-mz_I/AAAAAAAIIL8/C2ifJ2zFA-g/s1600/download.jpg)
Akizungumza ofisini kwake leo hii Mkuu wa Idara ya Uhusiano Hospitali ya Taifa Muhimbili Bw. Aminiel Buberwa Aligaesha amesema mafundi wapo katika eneo la kazi wakitengeneza hizo mashine ili ziweze kurudi katika hali yake ya kawaida.
“Tumepewa siku tatu kukamilisha ukarabati wa hizi mashine hivyo wananchi wawe na subira...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-uXIVumFF7qg/VkNMCfINl4I/AAAAAAAIFVA/xumeSkVkzBQ/s72-c/20151111060808.jpg)
9 years ago
Michuzi05 Jan
DK. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA MUHIMBILI NA KUKAGUA MASHINE ZA CT-SCAN NA MRI, AFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI
![IMG_0910](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/01/IMG_0910.jpg)
9 years ago
Habarileo12 Nov
Rais Magufuli asikika, MRI Muhimbili yatengamaa
MASHINE ya MRI iliyokuwa imeharibika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), sasa imeanza kufanya kazi baada ya kukamilika kwa matengenezo yake. Utengenezaji wa mashine hiyo ni utekelezaji wa amri ya Rais John Magufuli aliyoitoa kwa uongozi mpya wa MNH aliouteua, baada ya kutembelea hospitali hiyo hivi karibuni.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-oEIndExlq88/VlC_kkNH5WI/AAAAAAAIHsU/lxGL64ZdoPA/s72-c/mm.png)
Agizo la Rais Magufuli kuhusu kununuliwa vitanda hospitali ya Muhimbili latekelezwa
![](http://2.bp.blogspot.com/-oEIndExlq88/VlC_kkNH5WI/AAAAAAAIHsU/lxGL64ZdoPA/s640/mm.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Agizo alilolitoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli la kutaka fedha zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge zipelekwe Katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda na magodoro ya wagonjwa wanaolala chini limetekelezwa.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema fedha hizo zimefanikisha kupatikana vitanda 300 vya wagonjwa pamoja na magodoro yake, shuka 600, Baiskeli za...
9 years ago
MichuziMSD YAKARABATI JENGO LA DUKA LA DAWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA KASI KUBWA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS DK.MAGUFULI
BOHARI ya Dawa (MSD) imejiimarisha na kuhahikisha inatekeleza kwa wakati agizo la Rais Dk. John Magufuli la kuweka maduka ya dawa katika hospitali za rufaa na kanda nchini.
Katika kutekeleza agizo hilo MSD imeanza kwa kasi kubwa ya kukarabati jengo la duka la dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), ambalo linatarajiwa kufunguliwa kesho.
Mwandishi wa habari hii alishuhudia jana kasi kubwa ya mafundi ujenzi wakikarabati jengo hilo ambalo awali lilikuwa...
9 years ago
Habarileo17 Nov
MRI yaharibika tena Muhimbili
UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umesimamisha kwa muda huduma za uchunguzi kupitia mashine ya MRI kuanzia mwishoni mwa wiki, kwa ajili ya matengenezo zaidi ya mashine hiyo.