Mengine kutoka Hospitali ya Muhimbili kuhusu mashine za CT Scan..
Agizo la Rais Magufuli la kupatikana kwa mashine mpya ya CT Scan katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili limeonekana kuzaa matunda baada ya Serikali kununua mashine mpya ambayo imegharimu dola za Kimarekani milioni 1.7. Kutokana na mashine ya awali kuharibika kila wakati Serikali imegharamia mashine mpya ambayo imeelezwa kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya kazi […]
The post Mengine kutoka Hospitali ya Muhimbili kuhusu mashine za CT Scan.. appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSERIKALI YANUNUA MASHINE MPYA YA CT-SCAN KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YENYE UWEZO WA HALI YA JUU
Serikali imenunua mashine mpya ya CT-Scan yenye thamani ya takriban dola za Marekani milioni 1.7 yenye uwezo wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH) iliyopo jijini Dar es Salaam.
Ununuzi wa mashine hiyo, umefanyika kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoifanya hivi karibuni ambapo aliutaka uongozi wa hospitali hiyo kuboresha...
9 years ago
Michuzi
MAFUNDI WAZISHUGULIKIA MASHINE ZA MRI NA CT-SCAN MUHIMBILI.

Akizungumza ofisini kwake leo hii Mkuu wa Idara ya Uhusiano Hospitali ya Taifa Muhimbili Bw. Aminiel Buberwa Aligaesha amesema mafundi wapo katika eneo la kazi wakitengeneza hizo mashine ili ziweze kurudi katika hali yake ya kawaida.
“Tumepewa siku tatu kukamilisha ukarabati wa hizi mashine hivyo wananchi wawe na subira...
9 years ago
Michuzi05 Jan
DK. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA MUHIMBILI NA KUKAGUA MASHINE ZA CT-SCAN NA MRI, AFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI

9 years ago
MichuziSPEA ZA MASHINE ZA MRI NA CT-SCAN ZIMEFIKA NA MATENGENEZO YAMESHAANZA KATIKA HOSPITALI YA MHIMBILI
10 years ago
VijimamboHOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAPATIWA MASHINE YA MATIBABU YA MOYO
5 years ago
CCM Blog
HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU

Taarifa hiyo imetolewa leo Aprili 26, 2020 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma wa Hospitali hiyo, Aminiel Aligaesha na kuongeza kuwa, Hospitali hiyo pia inatarajia kufunga mashine moja ya kumsaidia mgonjwa kupumua kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa waliopata maambukizi hayo.
"Tayari wagonjwa wanaohitaji kusafishwa damu wameanza kuhudumiwa ,...
5 years ago
CCM Blog
MUHIMBILI YAIWEZESHA HOSPITALI YA RUFAA AMANA MASHINE ZA MILIONI 306



5 years ago
Michuzi
MUHIMBILI KUFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHA DAMU HOSPITALI YA AMANA ILI KUHUDUMIA WAGONJWA WENYE MATATIZO YA FIGO WALIOAMBUKIZWA UGONJWA WA CORONA

Mojawapo ya mashine ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo iliyofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 70 Mil.

Mashine ya kusaidia mgonjwa kupumua ambayo itafungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ambayo thamani yake ni TZS. 56 Mil.

Mtambo wa kuchuja maji (Portable RO System) kwenda kwenye mashine ya kusafisha damu wenye thamani ya TZS. 28 Mil uliofungwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine tatu za kusafisha damu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania