SPEA ZA MASHINE ZA MRI NA CT-SCAN ZIMEFIKA NA MATENGENEZO YAMESHAANZA KATIKA HOSPITALI YA MHIMBILI
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete baada ya kufuatilia agizo la Rais John Pombe Magufuli ambaye awali aliagiza wagonjwa wasilale chini. Rais Magufili aliitembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) hivi karibuni na kutoa agizo hilo. Leo Balozi Sefue ameitembelea mashine ya MRI, ST-Scan na Jengo la Taasisi ya Mifupa ya MOI. Akiwa katika ofisi ambako ipo mashine ya MRI na ST-Scan Balozi Sefue...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WFOFjlsEtx4/VlROLk-mz_I/AAAAAAAIIL8/C2ifJ2zFA-g/s72-c/download.jpg)
MAFUNDI WAZISHUGULIKIA MASHINE ZA MRI NA CT-SCAN MUHIMBILI.
![](http://3.bp.blogspot.com/-WFOFjlsEtx4/VlROLk-mz_I/AAAAAAAIIL8/C2ifJ2zFA-g/s1600/download.jpg)
Akizungumza ofisini kwake leo hii Mkuu wa Idara ya Uhusiano Hospitali ya Taifa Muhimbili Bw. Aminiel Buberwa Aligaesha amesema mafundi wapo katika eneo la kazi wakitengeneza hizo mashine ili ziweze kurudi katika hali yake ya kawaida.
“Tumepewa siku tatu kukamilisha ukarabati wa hizi mashine hivyo wananchi wawe na subira...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IzecnqvK_08/Vl8Tzk8qd_I/AAAAAAAIJ1k/kZUMnVjNoMk/s72-c/t9991392_001.jpg)
Mashine za MRI, CT-SCAN Hazitakwama Tena - Katibu Mkuu
![](http://1.bp.blogspot.com/-IzecnqvK_08/Vl8Tzk8qd_I/AAAAAAAIJ1k/kZUMnVjNoMk/s640/t9991392_001.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Donan Mmbando amesema serikali imezungumza na Philips na wamekubaliana kwamba mashine hizo hazitakwama na endapo litatokea tatizo la kiufundi watashughulikia mara moja.
“Mwaka ujao ni mwaka...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-F7Ur2bZFDkU/Vkmor0cA1zI/AAAAAAADCdQ/v0edDLu0Xoo/s72-c/IMG-20151116-WA0013.jpg)
9 years ago
Michuzi05 Jan
DK. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA MUHIMBILI NA KUKAGUA MASHINE ZA CT-SCAN NA MRI, AFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI
![IMG_0910](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2016/01/IMG_0910.jpg)
9 years ago
MichuziSERIKALI YANUNUA MASHINE MPYA YA CT-SCAN KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI YENYE UWEZO WA HALI YA JUU
Serikali imenunua mashine mpya ya CT-Scan yenye thamani ya takriban dola za Marekani milioni 1.7 yenye uwezo wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH) iliyopo jijini Dar es Salaam.
Ununuzi wa mashine hiyo, umefanyika kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoifanya hivi karibuni ambapo aliutaka uongozi wa hospitali hiyo kuboresha...
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Mengine kutoka Hospitali ya Muhimbili kuhusu mashine za CT Scan..
Agizo la Rais Magufuli la kupatikana kwa mashine mpya ya CT Scan katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili limeonekana kuzaa matunda baada ya Serikali kununua mashine mpya ambayo imegharimu dola za Kimarekani milioni 1.7. Kutokana na mashine ya awali kuharibika kila wakati Serikali imegharamia mashine mpya ambayo imeelezwa kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya kazi […]
The post Mengine kutoka Hospitali ya Muhimbili kuhusu mashine za CT Scan.. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mtanzania17 Dec
MRI, CT-Scan zaharibika tena Muhimbili
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
MASHINE ya MRI na CT-Scan zilizoko katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) zimeharibika tena, licha ya kufanyiwa matengenezo siku kadhaa zilizopita baada ya Rais Dk. John Magufuli kuamuru zitengenezwe haraka.
Hii ni mara ya tatu sasa tangu mashine hizo zilipoanza kuharibika mapema mwishoni mwa Agosti, mwaka huu.
R a i s Magufuli alitoa amri ya kutengenezwa kwa m a s h i n e hizo Novemba 9, mwaka huu alipofanya ziara ya
kushtukiza hospitalini hapo,...
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Waziri aibukia Muhimbili , CT Scan na MRI bado tatizo