Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri aibukia Muhimbili , CT Scan na MRI bado tatizo

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo na kukuta mashine za CT Scan na MRI hazifanyi kazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

MRI, CT-Scan zaharibika tena Muhimbili

mri--1NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM

MASHINE ya MRI na CT-Scan zilizoko katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) zimeharibika tena, licha ya kufanyiwa matengenezo siku kadhaa zilizopita baada ya Rais Dk. John Magufuli kuamuru zitengenezwe haraka.

Hii ni mara ya tatu sasa tangu mashine hizo zilipoanza kuharibika mapema mwishoni mwa Agosti, mwaka huu.
R a i s Magufuli alitoa amri ya kutengenezwa kwa m a s h i n e hizo Novemba 9, mwaka huu alipofanya ziara ya
kushtukiza hospitalini hapo,...

 

9 years ago

Michuzi

MAFUNDI WAZISHUGULIKIA MASHINE ZA MRI NA CT-SCAN MUHIMBILI.

MAFUNDI kutoka kampuni ya Philips wanaendelea na matengenezo ya mashine za MRI na CT-SCAN katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zilizopata hitilafu za kiufundi hivi karibuni.
Akizungumza ofisini kwake leo hii Mkuu wa Idara ya Uhusiano Hospitali ya Taifa Muhimbili Bw. Aminiel Buberwa Aligaesha amesema mafundi wapo katika eneo la kazi wakitengeneza hizo mashine ili ziweze kurudi katika hali yake ya kawaida.
“Tumepewa siku tatu kukamilisha ukarabati wa hizi mashine hivyo wananchi wawe na subira...

 

9 years ago

Michuzi

DK. KIGWANGALLA AFANYA ZIARA MUHIMBILI NA KUKAGUA MASHINE ZA CT-SCAN NA MRI, AFURAHISHWA NA UTENDAJI KAZI

IMG_0910Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dk. Hamisi Kingwangalla akimpongeza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Prof. Lawrence Mseru baada ya kuona mabadiliko makubwa katika hospitali hiyo tangu alipokaimu kiti hicho wakati wa zaiara ya kushtukiza katika chumba kilichofungwa mashine mpya ya CT-Scan iliyonunuliwa na Serikali hivi karibu na inauwezo mkubwa wa kufanya kipimo kwa sekunde 6 na kutoa majibu. Kulia ni Mkuu wa...

 

9 years ago

Michuzi

Mashine za MRI, CT-SCAN Hazitakwama Tena - Katibu Mkuu

Serikali imewahakikishia Watanzania kwamba mashine ya Magnetic Resonance Imaging (MRI) pamoja na Computerized  Tomography Scan (CT-SCAN) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)  hazitakwama kufanya kazi kwa kuwa imeweka utaratibu mzuri wa kuzitengeneza.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Donan Mmbando amesema serikali imezungumza na Philips na wamekubaliana kwamba mashine hizo hazitakwama na endapo litatokea tatizo la kiufundi watashughulikia mara moja.
“Mwaka ujao ni mwaka...

 

9 years ago

Michuzi

SPEA ZA MASHINE ZA MRI NA CT-SCAN ZIMEFIKA NA MATENGENEZO YAMESHAANZA KATIKA HOSPITALI YA MHIMBILI

 Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete baada ya kufuatilia agizo la Rais John Pombe Magufuli ambaye awali aliagiza wagonjwa wasilale chini. Rais Magufili aliitembelea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) hivi karibuni na kutoa agizo hilo. Leo Balozi Sefue ameitembelea mashine ya MRI, ST-Scan na Jengo la Taasisi ya Mifupa ya MOI. Akiwa katika ofisi ambako ipo mashine ya MRI na ST-Scan Balozi Sefue...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri: Ukeketaji bado ni tatizo kubwa

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia SimbaWAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba amesema ukatili wa kijinsia bado ni changamoto kubwa nchini ambapo suala la ukeketaji bado linatisha huku utafiti ukionesha kwamba kati ya wasichana watano, wawili wanaolewa kabla ya kufikisha umri wa miaka 18.

 

9 years ago

Habarileo

MRI yaharibika tena Muhimbili

UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umesimamisha kwa muda huduma za uchunguzi kupitia mashine ya MRI kuanzia mwishoni mwa wiki, kwa ajili ya matengenezo zaidi ya mashine hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kifaa cha MRI charekebishwa Muhimbili

Hospitali kuu ya Muhimbili nchini Tanzania,imesema kwamba mashine ya MRI imeanza kufanya kazi tena baada ya kurekebishwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani