UTAFITI WA MASHINE YA KUSAIDIA KUPUMULIA KWA WAGONJWA WA COVID 19 WAENDELEA NA TANALEC
![](https://1.bp.blogspot.com/-g-sq9dBjxnk/XpiKhm7VAOI/AAAAAAAAJHU/STSJF5oXiUQLsV8MnVMn4u_8FV7s7RnzACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200416_110636_444.jpg)
Mwenyekiti wa Mtaa wa Levolosi Seif Abdi akipokea vifaa kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akimkabidhi Mwenyekiti wa Madereva stand ya Daladala Kilombero vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona huku akifuatiliwa na Meneja msaidizi wa Tanalec Michael Mangowi Leo jijini Arusha picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Sehemu ya msaada uliotolewa na Tanelec Ltd ikiwemo Ndoo 100 za maji Tiririka na Sabuni katoni 100 ikiwa ni kwa ajili ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili30 Mar
Coronavirus: Kwa nini mashine za kusaidia kupumua ni muhimu kwa wagonjwa wa virusi vya corona?
5 years ago
BBCSwahili23 May
Virusi vya corona: Hdroxychloroquine inaongeza hatari ya kifo' kwa wagonjwa wa Covid, utafiti unasema
9 years ago
MichuziMuhimbili yapokea mashine ya ventilator ya kusaidia wagonjwa kupumua
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Hospitali ya Nyerere yapewa mashine ya kupumulia
HOSPITALI ya Wilaya ya Serengeti iliyoko katika mji wa Mugumu, Nyerere DDH, imekabidhiwa msaada wa mashine maalumu ya kuwasaidia wagonjwa kupumua. Mashine hiyo yenye thamani ya sh milioni 35 ilikabidhiwa...
9 years ago
StarTV27 Nov
Uhaba waikabili Muhimbili licha ya kupata Mashine Ya Kupumulia moja
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imepokea msaada wa mashine moja ya kupumulia lakini bado inakabiliwa na uhaba wa mashine hizo kwani kabla ya msaada huo ilikuwa na mashine 12 za zamani.
Kulingana na viwango vya kimataifa vya Shirika la Afya Duniani WHO, hospitali kama ya Muhimbili inatakiwa kuwa na vitanda 150 vya wagonjwa mahututi na mashine za kupumulia.
Mashine iliyotolewa msaada ni ya kisasa ikiwa na thamani ya Dola elfu 36 za Marekani, ambazo ni sawa na Shilingi milioni 80 za...
9 years ago
MichuziKAMPUNI YA ULINZI YA SGA YATOA MSAADA WA MASHINE YA KUPUMULIA NA MASHUKA WODI YA WATOTO MWANANYAMALA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_4VpB64T0rk/VkxWeOujQYI/AAAAAAAIGiQ/ixNGoCOrv84/s72-c/viwanda%252Bpicha.jpg)
Bilioni Mbili kutengwa kwa ajili ya kusaidia utafiti wa zao la Korosho
![](http://4.bp.blogspot.com/-_4VpB64T0rk/VkxWeOujQYI/AAAAAAAIGiQ/ixNGoCOrv84/s640/viwanda%252Bpicha.jpg)
Bodi ya Korosho Tanzania imeadhima kutoa asilimia 7 ya mapato yake sawa na shilingi bilioni mbili kwa ajili ya kusaidia utafiti wa zao hilo unaofanywa na kituo cha utafiti cha Naliendele.
Akiongea wakati wa kufunga kwa mkutano wa tatu wa kimataifa uliowahusisha wadau kutoka nchi mbalimbli duniani ,Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania Bw. Muhidhiri Muhidhiri amesema kuwa changamoto kubwa wanayokabiliana nayo ni ukosefu wa fedha kwa ajili ya...
5 years ago
MichuziSERIKALI: DAWA YA COVID 19 KUTOKA MADAGASCAR NI KWA AJILI YA UTAFITI
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kuwa dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) amewaambia waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuwa dawa hiyo inayojulikana kaitaalamu kama "COVIDORGANICS" ni kwa ajili ya utafiti na siyo kwa ajili ya matumizi ya binadamu.
"Huu mzigo (dawa) ni...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qtMEq3KMi9s/XrbJYe8s7jI/AAAAAAALplI/oQb_jMr3Ba0VT7wWBsoI7aQWszuv99S_gCLcBGAsYHQ/s72-c/PHOTO-2020-05-09-15-48-32.jpg)
Dawa ya Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yatoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-qtMEq3KMi9s/XrbJYe8s7jI/AAAAAAALplI/oQb_jMr3Ba0VT7wWBsoI7aQWszuv99S_gCLcBGAsYHQ/s640/PHOTO-2020-05-09-15-48-32.jpg)
DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona.
Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...