Miss Grand Tanzania 2014, Lorraine Clement atua nchini apongeza Watanzania
Lorraine Clement akipungia watu waliofika kumlaki , alipokuwa akiwasili uwanja wa ndege JNI, alipokuwa akitokea nchini, Thailand, kushiriki mashindano ya Miss Grand International 2014, ambapo Lorraine aliibuka nafasi ya 20 bora.
Na Andrerw Chale
MWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Grand International 2014, na kufanikiwa kushika nafasi ya 20 bora katika shindano lililofanyika mjini, Bangkok, Thailand, ametua nchini jana...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
LORRAINE ATUA NCHINI APONGEZA WATANZANIA
11 years ago
Michuzi
MPIGIE KURA BINTI WA KITANZANIA LORRAINE MARRIOT KATIKA SHINDANO MISS GRAND INTERNATIONAL 2014

11 years ago
Michuzi10 Oct
LORRAINE ATUA NCHINI, ASHUKURU NA KUPONGEZA WATANZANIA

Na Andrew ChaleMWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Grand International 2014, na kufanikiwa kushika nafasi ya 20 bora katika shindano lililofanyika mjini, Bangkok, Thailand, ametua nchini jana Oktoba 9...
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Tanzania kushiriki Miss Grand International 2014
9 years ago
Michuzi
MISS TANZANIA Lorraine at Miss Universe 2015

11 years ago
Michuzi31 Jul
HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA

Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera anayeshiriki kinyang'ayiro cha kumtafuta Miss Africa USA. Mtangazaji wa Mimi Na Tanzania Hoyce Temu ambaye pia ni Miss Tanzania 1999 yupo nchini Marekani na amefanya mahojiano na mrembo huyo.Usikose kuangalia marudio ya mahojiano hayo kwenye kipindi cha "Mimi na Tanzania" Jumamosi ya tarehe 2 August ,2014...
9 years ago
Michuzi
Lorraine Marriot - Miss Universe Tanzania 2015

11 years ago
GPL
HOYCE TEMU AHAMASISHA WATANZANIA KUMPIGIA KURA MISS TANZANIA USA 2014 KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA MISS AFRICA USA
11 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Mtanzania 20 bora Miss Grand International 2014
MWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano la urembo la kimataifa ya Miss Grand International 2014, amefanikiwa kushika nafasi ya 20 bora katika shindano lililofanyika mjini, Bangkok,Thailand. Kwa kushika nafasi...