Lorraine jukwaani Miss World Universe Marekani leo
Mrembo anayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World Universe 2015, Lorraine Marriott, leo anatarajia kupanda kujwaani jijini Las Vegas nchini Marekani kwenye fainali za michuano hiyo.
Lorraine mwenye miaka 19 anapambana kuiwakilisha vyema Tanzania baada ya mwakilishi mwingine kutoka nchini, Lilian Kamazima kushindwa kufurukuta katika fainali za mashindano ya Miss World 2015 yaliyofanyika jana huko Sanya nchini China na Miss Hispania, Mireia Lalaguna Royo kuibuka kidedea.
GPL...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Mrembo wetu Lorraine anavyoibeba Tanzania kwenye stage ya Miss Universe Marekani
Weekend hii itakuwa na headlines za urembo kwenye mataji mawili makubwa duniani, yani ni kwamba itashuhudiwa fainali ya Miss World ambayo itafanyika Dec 19 2015 ndani ya Sanya China, alafu siku inayofatia yani December 20 itakuwa ni fainali ya Miss Universe Marekani. Tanzania ina mwakilishi kwenye stage ya Miss Universe 2015 Marekani ambaye ni mrembo mwenye […]
The post Mrembo wetu Lorraine anavyoibeba Tanzania kwenye stage ya Miss Universe Marekani appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mjl9guAucSI/VmcunQ8dO1I/AAAAAAAILFo/rR3ZECNQ4ME/s72-c/UNI2015_3102.jpg)
MISS TANZANIA Lorraine at Miss Universe 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-mjl9guAucSI/VmcunQ8dO1I/AAAAAAAILFo/rR3ZECNQ4ME/s640/UNI2015_3102.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-P75779HHKYY/Vm28oqGxzMI/AAAAAAAIMK0/_kGSRdzZh7c/s72-c/photographer_uploaded_1_79_1_1449972038_2015.jpg)
Lorraine Marriot - Miss Universe Tanzania 2015
![](http://1.bp.blogspot.com/-P75779HHKYY/Vm28oqGxzMI/AAAAAAAIMK0/_kGSRdzZh7c/s640/photographer_uploaded_1_79_1_1449972038_2015.jpg)
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Picha ya Lorraine Marriot -Miss Universe Tanzania 2015 akiwa Las Vegas
Picha rasmi ya Lorraine Marriot – Mwakilishi wetu katika mashindano ya Miss Universe yanayofanyika Las Vegas nchini Marekani. (Picha imepigwa na Fadil Berisha).
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Lorraine Marriot Miss Universe Tanzania 2015 ndani ya Las Vegas na Vazi la Taifa
Lorraine Marriot (pichani) akiwa katika vazi la ubunifu la Taifa .Vazi hili limebuniwa na Adam Hassana Kijangwa kutoka Zanzibar na imeitwa ‘Angel of Ivory’ maana inaonyesha Malaika wa Tanzania anayelinda Tembo wanaouwawa kwa ujangili kwa ajili ya biashara haramu ya pembe za ndovu.
Huyu malaika wa Tanzania yupo kwa ajili ya kuwalinda Tembo na rasilimali zetu na kuwaadhibisha majangili. Nguo yake imeshonwa kwa ubunifu na umahiri mkubwa na hekaheka limebuniwa na Mwanakombo Salim. Pia kabeba...
9 years ago
Bongo511 Dec
Miss World na Miss Universe kufanyika katika siku za kufuatana, Dec 19 na Dec 20
![page](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/page-300x194.jpg)
Mashidano ya urembo duniani, Miss World na Miss Universe yatafanyika katika siku zinazofuatana.
Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Miss World 2015, Lilian Kamazima
Miss World itafanyika Jumamosi ya December 19 na Miss Universe Jumapili ya December 20. Miss World inafanyika huko Sanya, China wakati Miss Universe itafanyika Las Vegas nchini Marekani.
Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Miss Universe 2015, Lorraine Marriott.
Katika Miss World, Tanzania inawakilishwa na Lilian...
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Utata kwenye stage ya fainali za Miss Universe Marekani baada ya mshindi kukosewa.. (+Video)
Unaweza kukosea ukaomba radhi lakini watu wasiwe wepesi kukusamehe au kukuelewa kwamba umejikwaa kibinadamu… utata na kelele ziliibuka kwenye stage ya Planet Hollywood, Las Vegas Marekani saa chache zilizopita. Noma zaidi ni kwamba ishu haikuishia kwenye stage wala ukumbini, watu wakaingia mitandaoni kila mmoja akiongea la kwake huku wengi wakionekana kama hawajachukulia poa kosa la MC […]
The post Utata kwenye stage ya fainali za Miss Universe Marekani baada ya mshindi kukosewa.. (+Video)...
10 years ago
GPLMWAKILISHI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 ATEMBELEA GLOBAL LEO
10 years ago
Bongo519 Sep
Usahili wa Miss Universe Tanzania 2014 unafanyika leo Dar es Salaam