Okwi arejea Simba
Uongozi wa Simba umemrudisha kundini mshambuliaji wake wa zamani, Emmanuel Okwi ukisema umechukua hatua hiyo: “Kumsitiri ili asipoteze kipaji chake†baada ya watani wake wa jadi Yanga, kumshtaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ws8ZUKcMJII/U_9lIrjSr2I/AAAAAAABLxA/PuEl3wjc1g4/s72-c/IMG_2204.jpg)
OKWI AREJEA SIMBA SC KUCHEZA KWA MUDA KULINDA KIPAJI CHAKE WAKATI KESI YAKE NA YANGA IKIENDELEA
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMSTAILI ile ile waliyotumia Yanga SC kumpata mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi ndiyo ambayo klabu yake ya zamani, Simba SC inaitumia kumrejesha kundini Mganda huyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jioni hii mjini Dar es Salaam, Okwi amesema kwamba amesaini Simba SC mkataba huru wa muda, baada ya Yanga SC kumpa barua ya kusitisha mkataba naye jana pamoja na kumshitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Okwi amesema ameamua kuomba kuichezea Simba SC kipindi...
10 years ago
BBCSwahili14 May
Kocha wa Simba arejea kwao
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Jonas Mkude arejea Simba
KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, amerejea rasmi kikosini na kuanza mazoezi baada ya kuwa benchi kwa wiki sita akiwa na majeraha aliyopata akiwa na timu ya soka ya Tanzania, Taifa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bsmQVYBkFPhTMPsWclG0VY9MNG4ooTZ2w-DfET*R7g9YxoM4bF7avOPM1iGihiuFP0qOO8XEqD9GeyfVIR9dJTkrbYAVIb6L/okwi.jpg)
Okwi rasmi Simba
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Simba kumrudisha Okwi
10 years ago
Raia Tanzania08 Jul
Simba kumuuza Okwi
KUNA uwezekano mkubwa kwa Klabu ya Simba kumuuza tena mashambuliaji wake Emmanuel Okwi kama atafuzu majaribio yake anayotarajia kuanza kesho katika klabu ya Sonderjyske inayoshiriki kwenye Ligi ya Danish Superliga, Denmark.
Simba iliwahi kumuuza Okwi katika timu ya Etoile du Sahel ya Tunisia, lakini alikaa kwa miezi sita kabla ya kurejea timu ya Sports Club Villa ya Uganda ambao nao walimuuza klabu ya Yanga na mwisho kutua tena Simba.
Okwi atakuwa ni mchezaji wa pili kwenda kwenye...
10 years ago
Vijimambo22 Jul
Okwi kurejea Simba.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Okwi-22July2015.jpg)
Utata huo mpya umefuatia Wadenmark hao kutaka kumrejesha Okwi Simba kwa mkopo wa miezi sita baada ya kukwama kuipata leseni yake ya uhamisho ya kimataifa (ITC), ambayo Simba imesema haitaitoa...
11 years ago
Mwananchi17 Dec
Okwi awavuruga Simba