Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi kurejea Simba.

Mshambuliaji Emmanuel Okwi ambaye uhamisho wake daima umekuwa ukizungukwa na maswali kila aendako, ameingia katika utata mwingine baada ya ripoti mpya kudai kwamba alisaini mkataba wa miaka mitano wa kuichezea timu ya SønderjyskE licha ya timu hiyo ya Denmark kutotoa hata senti kwa klabu yake ya Simba.

Utata huo mpya umefuatia Wadenmark hao kutaka kumrejesha Okwi Simba kwa mkopo wa miezi sita baada ya kukwama kuipata leseni yake ya uhamisho ya kimataifa (ITC), ambayo Simba imesema haitaitoa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Simba kurejea Dar leo

TIMU ya Simba inatarajia kuwasili jijini Dar es Salaam leo, ikitokea Bukoba, Kagera kucheza mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar, mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba, juzi....

 

11 years ago

Mwananchi

Okwi awavuruga Simba

Mamia ya mashabiki wa Simba jana walikusanyika makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam wakitaka kujua ukweli kuhusu uhamisho wa Emmanuel Okwi kwenda Yanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi arejea Simba

Uongozi wa Simba umemrudisha kundini mshambuliaji wake wa zamani, Emmanuel Okwi ukisema umechukua hatua hiyo: “Kumsitiri ili asipoteze kipaji chake” baada ya watani wake wa jadi Yanga, kumshtaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

11 years ago

Mwananchi

Simba kumrudisha Okwi

Wakati Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) likisogeza muda wa usajili, Yanga inahaha kufanya uamuzi wa kuondoa mmoja kati ya wachezaji wawili Waganda, huku Simba ikikaribia kumalizana na beki kutoka Lipuli na kumrejesha Emmanuel Okwi.

 

10 years ago

GPL

Okwi rasmi Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope,akimtambulisha Emmanuel Okwi. Stori: Hans Mloli, Sweetbert Lukonge na Julieth Patrick
“WHAT goes around comes around!” hiyo ni kauli ambayo alianza kuitoa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pope, jana jioni wakati akimtambulisha Emmanuel Okwi kuwa mchezaji wao mpya, ambapo ujumbe huo aliupeleka moja kwa moja kwa wapinzani wao wa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Simba kumuuza Okwi

KUNA uwezekano mkubwa kwa Klabu ya Simba kumuuza tena mashambuliaji wake Emmanuel Okwi kama atafuzu majaribio yake anayotarajia kuanza kesho katika klabu ya Sonderjyske inayoshiriki kwenye Ligi ya Danish Superliga, Denmark.

Simba iliwahi kumuuza Okwi katika timu ya Etoile du Sahel ya Tunisia, lakini alikaa kwa miezi sita kabla ya kurejea timu ya Sports Club Villa ya Uganda ambao nao walimuuza klabu ya Yanga na mwisho kutua tena Simba.

Okwi atakuwa ni mchezaji wa pili kwenda kwenye...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Okwi awagawa wachezaji Simba

BAADHI ya wachezaji wa Simba wameutaka uongozi kuwachukulia hatua wachezaji wenzao kwa utovu wa nidhamu akiwemo nyota wa kimataifa, Mganda Emmanuel Okwi, badala ya kuwaonea baadhi yao. Kauli ya nyota...

 

10 years ago

TheCitizen

Okwi stars as Simba shine again

A goal deep into injury time by striker Emmanuel Okwi is all is all rejuvenated Simba SC needed to silence hard-fighting Mtibwa Sugar in an exciting Mainland Premier League match yesterday.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani