Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL, WIZARA UWANJANI LEO

Kikosi cha Global FC. Stori: Mwandishi Wetu
TIMU inayokuja juu kwa kasi, Global FC leo itajitupa tena uwanjani kuvaana na wapinzani wao, Wizara ya Katiba na Sheria, itakayochezwa katika Uwanja wa Chuo cha Sheria uliopo Sinza jijini Dar. Akizungumza na gazeti hili, nahodha wa timu hiyo, Phillip Nkini amesema mechi hiyo itakuwa ngumu na yenye upinzani mkubwa kama mechi zilizotangulia. “Huwa hakuna mechi nyepesi, mechi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal,Chelsea na Mancity uwanjani Leo

Mshambuliaji Diego Costa,Vincent Kompany ,Emmanuel Adebayor,Oxlaide Chamberlain ni miongoni mwa wachezaji walio na majeraha.

 

9 years ago

Vijimambo

Twiga Stars uwanjani Kongo Brazzaville leo

Timu ya soka ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajia kutupa karata yake ya kwanza leo katika Michezo ya Afrika kwa kuwakabili Ivory Coast kwenye Uwanja wa Del Debate nchini Kongo Brazzaville.

Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu kutoka Kongo Brazzaville, Mkuu wa Msafara wa timu hiyo, Blassy Kiondo, alisema kuwa wachezaji walifanya mazoezi ya mwisho kujiandaa na mchezo huo jana asubuhi na wote wanaendelea vizuri.

Kiondo alisema kuwa mchezo huo unatarajiwa kufanyika kuanzia saa 11 jioni...

 

9 years ago

Mwananchi

Twendeni uwanjani vifua mbele, Stars ushindi leo lazima

Taifa Stars inashuka dimbani leo kucheza na Algeria kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa ni mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi. Timu hizo zitarudiana Novemba 17 nchini Algeria.

 

10 years ago

GPL

GLOBAL FC YALALA KWA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Straika wa Global FC, Benjamin Mwanambuu akiifungia bao timu yake. Timu ya Wizara ya Sheria na Katiba ikifunga mojawapo ya mabao yake dhidi ya Global FC.…

 

10 years ago

GPL

GLOBAL FUND ROUND 9 YATOA MABASI 6 KWA WIZARA YA AFYA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Charles Pallangyo akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). …akipanda ndani ya basi.…

 

10 years ago

GPL

DUDE NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO

Kulwa Kikumba 'Dude' akiwa ndani ya studio za Global TV Online. Dude akisalimiana na Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist. Dude akiwa na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul.…

 

10 years ago

GPL

LA VEDA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE LEO

Irene Neema Vedastous 'La Veda'. MTANZANIA aliyekuwa anashiriki shindano la Big Brother Hotshots, Irene Neema Vedastous 'La Veda', leo atakuwa ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd akifanya mahojiano ya Global TV Online kuanzia saa 5 asubuhi. Mshiriki huyo atakuwa na mambo mengi ya kuongea maana tangu atue Bongo hajafanya mahojiano sehemu nyingine yoyote. Hivyo wewe shabiki wa La Veda usikose kutembelea Ukurasa wetu...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL KUIVAA MWANZA ALL STARS LEO

Kikosi cha timu ya Global Fc. Na Mwandishi Wetu TIMU ya Global FC, leo itaingia uwanjani kuvaana na Mwanza All Stars kwenye mchezo mkali wa kirafiki utakaopigwa kwenye Uwanja wa Posta, Kijitonyama jijini Dar. Huu utakuwa mchezo wa pili kwa Global ndani ya wiki moja baada ya wiki iliyopita kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Kigoma All Stars.… ...

 

9 years ago

Global Publishers

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani