GLOBAL KUIVAA MWANZA ALL STARS LEO
Kikosi cha timu ya Global Fc. Na Mwandishi Wetu TIMU ya Global FC, leo itaingia uwanjani kuvaana na Mwanza All Stars kwenye mchezo mkali wa kirafiki utakaopigwa kwenye Uwanja wa Posta, Kijitonyama jijini Dar. Huu utakuwa mchezo wa pili kwa Global ndani ya wiki moja baada ya wiki iliyopita kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Kigoma All Stars.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/G4QhErsz3t*uPS0Bfpv52zQK0dUicK8sLxL8060XWgxs*oQogDpOQIVomplU7oIamhXPce0DUsYZW9VtT3nE8lUTPhBjjzYy/GLOALFCMWANZAALLSTARS10.jpg?width=650)
MATOKEO: GLOBAL FC 2, MWANZA ALL STARS 4
10 years ago
Michuzi30 Mar
TAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA MALAWI, JIJINI MWANZA LEO
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Twiga Stars kuivaa Zambia
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Stars maboresho kuivaa Rwanda
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Stars kuivaa Algeria Novemba 14
9 years ago
Habarileo29 Sep
Stars ya kuivaa Malawi yatajwa
KIKOSI cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoikabili Malawi, The Flames katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018, kimetangazwa kikiwa hakina mabadiliko na kilichoikabili Nigeria katika kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2017.
11 years ago
Mwananchi25 May
Stars kuivaa tena Malawi
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WO5mDj01tcQ/VQh1v_UlN5I/AAAAAAAHLIw/MDfGpIZk9AY/s72-c/1.jpg)
Kocha wa Zamani wa Taifa Stars,marehemu Sylvester Marsh azikwa leo jijini Mwanza
![](http://3.bp.blogspot.com/-WO5mDj01tcQ/VQh1v_UlN5I/AAAAAAAHLIw/MDfGpIZk9AY/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bJPHSmsAeyg/VQhrlhlwdnI/AAAAAAABL5A/_QDH4Rn4BDE/s1600/19.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-pgOC1ygQn7A/VhPUcS9SyCI/AAAAAAABJZY/O2cdeevyN-8/s72-c/A%2B3.png)
STARS YAKAMILIKA KUIVAA MALAWI KESHO
![](http://3.bp.blogspot.com/-pgOC1ygQn7A/VhPUcS9SyCI/AAAAAAABJZY/O2cdeevyN-8/s640/A%2B3.png)
Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Mkwasa amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Malawi kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018.
Mkwasa amesema kikosi chake kipo kaika hali nzuri baada ya kufanya mazoezi ya mwisho leo asubuhi ambapo wachezaji wote wapo katika hali nzuri wakiwemo wachezaji wawili Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu kutoka klabu ya TP Mazembe ya Congo DR.
“Tunatambua umuhimu...