Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twiga Stars kuingia kambini Zanzibar leo

TIMU ya Taifa Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuingia kambini leo kisiwani Zanzibar kujiandaa na Michezo ya Afrika (All Africa Games) itakayofanyika mwezi ujao nchini Congo Brazzaville.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Twiga Stars kuingia kambini leo

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ,Twiga Stars inatarajiwa kuingia kambini leo kisiwani Zanzibar

 

10 years ago

Michuzi

STARS KUINGIA KAMBINI LEO

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ambayo inadhaminiwa na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo inaingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyopo eneo la Gerezani kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON).
Kikosi kitakachoingia kambini kinawajumuisha wachezaji waliocheza michuano ya Cosafa nchini Afrika Kusini mwishoni mwa mwezi Mei, wachezaji 20 walioanza kambi tangu wiki iliyopita na wachezaji wanaocheza soka la kulipwa nchini Congo DR.
Taifa...

 

10 years ago

Vijimambo

STARS KUINGIA KAMBINI KESHO


Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuingia kambini kesho jumatano katika hoteli ya Tansoma iliyopo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri kuwania kufuzu kwa AFCON. 

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij, amewaita wachezaji 16 kuingia kambini kesho siku ya jumatano kwa ajili ya kupimwa afya zao na kujua maandeleo yao kabla ya kuwajumisha katika kikosi cha pamoja kitakachokua kwenye maandalizi ya mchezo dhidi ya Misri. 

Wachezaji walioitwa...

 

10 years ago

Michuzi

TWIGA STARS YAELEKEA ZANZIBAR

Kikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars).

Kikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kimeodoka leo saa 6 mchana jijini Dar es salaam kuelekea kisiwani Zanzibari, ambapo kitaweka kambi ya mwezi mmoja kujiandaa na fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) mwezi Septemba.
Msafara wa Twiga Stars umeondoka na boti ya Azam (Kilimanjaro) ukiwa na watu 32, wakiwemo wachezaji 25, benchi la ufundi 6 pamoja na kiongozi wa msafara, ambapo TFF imegharamia kambi hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

Twiga Stars yaenda Zanzibar

TIMU ya taifa ya soka ya Wanawake, ‘Twiga Stars’ imeondoka jana kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya kujiandaa na fainali za michezo ya Matifa Afrika ‘All African Games’ zinatarajiwa kufanyika Congo Brazzaville Septemba mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji Taifa Stars kuripoti kambini leo

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars,’ leo inatarajiwa kuingia kambini leo kujiandaa na mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Burundi itakayopigwa Septemba 7, mjini Bujumbura, Burundi. Kwa mujibu...

 

10 years ago

Habarileo

Kambi Twiga Stars Zanzibar yayeyuka

KAMBI ya timu ya soka ya Taifa ya wanawake Twiga Stars iliyokuwa iwekwe Zanzibar tangu jana, imeyeyuka.

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA TWIGA STARS YAELEKEA ZANZIBAR



Kikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars).Kikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kimeodoka leo saa 6 mchana jijini Dar es salaam kuelekea kisiwani Zanzibari, ambapo kitaweka kambi ya mwezi mmoja kujiandaa na fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) mwezi Septemba.Msafara wa Twiga Stars umeondoka na boti ya Azam (Kilimanjaro) ukiwa na watu 32, wakiwemo wachezaji 25, benchi la ufundi 6 pamoja na kiongozi wa msafara, ambapo TFF imegharamia kambi hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani