TIMU YA TWIGA STARS YAELEKEA ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-aNYZHU1S6QU/VcS3CWezBWI/AAAAAAAHvGw/US1RJBXmAKA/s72-c/thumb_IMG_6850_1024.jpg)
Kikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars).Kikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kimeodoka leo saa 6 mchana jijini Dar es salaam kuelekea kisiwani Zanzibari, ambapo kitaweka kambi ya mwezi mmoja kujiandaa na fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) mwezi Septemba.
Msafara wa Twiga Stars umeondoka na boti ya Azam (Kilimanjaro) ukiwa na watu 32, wakiwemo wachezaji 25, benchi la ufundi 6 pamoja na kiongozi wa msafara, ambapo TFF imegharamia kambi hiyo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-aNYZHU1S6QU/VcS3CWezBWI/AAAAAAAHvGw/US1RJBXmAKA/s72-c/thumb_IMG_6850_1024.jpg)
TWIGA STARS YAELEKEA ZANZIBAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-aNYZHU1S6QU/VcS3CWezBWI/AAAAAAAHvGw/US1RJBXmAKA/s640/thumb_IMG_6850_1024.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-kA5_JFqxxXM/VcS3DVqnqxI/AAAAAAAHvHA/gQU-DFBwCCc/s640/thumb_IMG_6874_1024.jpg)
Kikosi cha timu ya Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kimeodoka leo saa 6 mchana jijini Dar es salaam kuelekea kisiwani Zanzibari, ambapo kitaweka kambi ya mwezi mmoja kujiandaa na fainali za Michezo ya Afrika (All Africa Games) mwezi Septemba.
Msafara wa Twiga Stars umeondoka na boti ya Azam (Kilimanjaro) ukiwa na watu 32, wakiwemo wachezaji 25, benchi la ufundi 6 pamoja na kiongozi wa msafara, ambapo TFF imegharamia kambi hiyo...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bG3N9aSgYVQ/Uv3pXtQxqmI/AAAAAAAFNJI/pgWzcj35flU/s72-c/photo-1.jpg)
MAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-bG3N9aSgYVQ/Uv3pXtQxqmI/AAAAAAAFNJI/pgWzcj35flU/s1600/photo-1.jpg)
10 years ago
Habarileo08 Aug
Twiga Stars yaenda Zanzibar
TIMU ya taifa ya soka ya Wanawake, ‘Twiga Stars’ imeondoka jana kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya kujiandaa na fainali za michezo ya Matifa Afrika ‘All African Games’ zinatarajiwa kufanyika Congo Brazzaville Septemba mwaka huu.
10 years ago
Habarileo05 Aug
Kambi Twiga Stars Zanzibar yayeyuka
KAMBI ya timu ya soka ya Taifa ya wanawake Twiga Stars iliyokuwa iwekwe Zanzibar tangu jana, imeyeyuka.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u8m0F01QrxE/Vek3QhaHF4I/AAAAAAAH2RU/G-nx9VtGdNk/s72-c/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars yaondoka kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
![](http://1.bp.blogspot.com/-u8m0F01QrxE/Vek3QhaHF4I/AAAAAAAH2RU/G-nx9VtGdNk/s640/unnamed%2B%252877%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-goCfa6KsvIs/Vek3Qilfi5I/AAAAAAAH2RM/SAuGOh-elQ0/s640/unnamed%2B%252878%2529.jpg)
9 years ago
Dewji Blog04 Sep
Timu ya Taifa ya wanawake Twiga stars ‘Kimeeleweka’ wapaa Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games)
Wachezaji wa Timu ya Taifa wakipanda ndege ya Shirikia la Ndege la Tanzania (Air
Tanzania) jana jioni tayari kwa kuanza
safari ya kuelekea nchini Congo Brazaville kwa ajili ya Mashindano ya Afrika
(All African Games).
Afisa Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Gordon Nsajigwa akimpatia mmoja wa wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake tiketi jana jioni tayari kwa safari ya kuelekea Congo Brazaville kwenye mashindano ya Afrika (All African Games),...
10 years ago
Habarileo02 Aug
Twiga Stars waishukuru TFF kuipeleka Zanzibar
WACHEZAJI wa timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars wamelishukuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kuihamishia kambi yao Zanzibar.
10 years ago
Habarileo06 Aug
Twiga Stars kuingia kambini Zanzibar leo
TIMU ya Taifa Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuingia kambini leo kisiwani Zanzibar kujiandaa na Michezo ya Afrika (All Africa Games) itakayofanyika mwezi ujao nchini Congo Brazzaville.