Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STARS KUINGIA KAMBINI LEO

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ambayo inadhaminiwa na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo inaingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyopo eneo la Gerezani kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON).
Kikosi kitakachoingia kambini kinawajumuisha wachezaji waliocheza michuano ya Cosafa nchini Afrika Kusini mwishoni mwa mwezi Mei, wachezaji 20 walioanza kambi tangu wiki iliyopita na wachezaji wanaocheza soka la kulipwa nchini Congo DR.
Taifa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Twiga Stars kuingia kambini leo

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ,Twiga Stars inatarajiwa kuingia kambini leo kisiwani Zanzibar

 

10 years ago

Habarileo

Twiga Stars kuingia kambini Zanzibar leo

TIMU ya Taifa Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) inatarajiwa kuingia kambini leo kisiwani Zanzibar kujiandaa na Michezo ya Afrika (All Africa Games) itakayofanyika mwezi ujao nchini Congo Brazzaville.

 

10 years ago

Vijimambo

STARS KUINGIA KAMBINI KESHO


Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuingia kambini kesho jumatano katika hoteli ya Tansoma iliyopo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri kuwania kufuzu kwa AFCON. 

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij, amewaita wachezaji 16 kuingia kambini kesho siku ya jumatano kwa ajili ya kupimwa afya zao na kujua maandeleo yao kabla ya kuwajumisha katika kikosi cha pamoja kitakachokua kwenye maandalizi ya mchezo dhidi ya Misri. 

Wachezaji walioitwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wachezaji Taifa Stars kuripoti kambini leo

TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars,’ leo inatarajiwa kuingia kambini leo kujiandaa na mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Burundi itakayopigwa Septemba 7, mjini Bujumbura, Burundi. Kwa mujibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabibi Bomba 10 kuingia kambini

MSIMU mpya wa shindano la Bibi Bomba umewadia kwa mara nyingine tena, huku mabibi 10 wakifanikiwa kupata nafasi ya kuingia kambini wiki hii kwa ajili ya shindano hilo. Akizungumza na...

 

11 years ago

Mwananchi

Timu ya Taifa ya Kuogelea yashindwa kuingia kambini

Wakati msafara wa mwisho wa timu za Tanzania zinazokwenda kuweka kambi nje ya nchi ukiwa umeshaondoka jana kwenda New Zealand, timu ya Taifa ya Kuogelea imeshindwa kujiunga na kambi hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Stars yarejea kambini Mbeya

KIKOSI cha timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars kesho kinatarajia kwenda jijini Mbeya kuendelea kujifua kuelekea mechi ya marudiano dhidi ya Msumbiji itakayochezwa wiki mbili zijazo, mjini Maputo, Msumbiji....

 

10 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yaingia kambini

Taifa Stars inaingia kambini leo kwa ajili ya kujiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Benin itakayochezwa Oktoba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani