Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MECHI YA TWIGA STARS NA ZAMBIA KURUSHWA ‘LIVE’ ZNBC

Kikosi cha Twiga Stars kinashuka Uwanja wa Nkoloma, Lusaka nchini Zambia leo kuwavaa wenyeji Zambia (Shepolopolo) katika mechi ya mchujo ya Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) itakayooneshwa moja moja ‘live’ na televisheni ya Shirika la Taifa la Utangazaji la Zambia (ZNBC).
Mechi hiyo itaanza saa 9 kamili mchana kwa saa za Zambia ambapo Tanzania itakuwa saa 10 kamili jioni huku Kocha Mkuu wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage akiwa tayari ametangaza ‘silaha’ zake kwa mechi hiyo ya kwanza ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAZUNGUMZO KUHUSU MECHI YA MPIRA WA MIGUU KATI YA TWIGA STARS NA TIMU YA TAIFA YA ZAMBIA

 Pichani Balozi Grace MUJUMA  na maafisa wa Ubalozi Mr Jeswald Majuva na Mr Mogosi Munata wakizungumza na viongozi wa timu ya Twiga Stars Bw Ahmed Mgoyi kiongozi wa Msafara na Bw Boniface Wambura walipofika kwenye Ofisi Za Ubalozi wa TANZANIA Lusaka Zambia kabla ya pambano la mpira litakalofanyika Leo Ijumaa tarehe 14.2.2014 kwenye Uwanja wa Nkoloma uliopo jijini Lusaka.mpambano huo unategemewa kuwa mkali kwani pande zote zimeonyesha nia ya kuibuka na ushindi.

 

11 years ago

Mwananchi

Twiga Stars kuivaa Zambia

>Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) leo ina kazi moja tu kusaka ushindi ili kuwapa raha Watanzania itakapokabiliana na Zambia (Shepolopolo)  katika pambano la kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Afrika litakalopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twiga Stars yafungwa Zambia

TIMU ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, juzi ilianza vibaya kampeni ya kuwania tiketi ya kucheza fainali za Afrika (AWC), baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Zambia ‘Shepolopolo’...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twiga Stars vs Zambia hakuna kiingilio

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema hakuna kiingilio katika mechi ya kuwania kufuzu Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC), itakayowakutanisha Twiga Stars na Zambia ‘Shepolopolo’ kwenye Uwanja wa Azam Complex...

 

10 years ago

BBCSwahili

Twiga Stars kuelekea Zambia kesho

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake , inatarajiwa kuondoka nchini mwishoni mwa wiki hii kuelekea Zambia kwa mchezo .

 

10 years ago

TheCitizen

Twiga Stars out to silence Zambia team

The national women’s soccer team, Twiga Stars, will be seeking a flying start when they take on Zambia’s Shepolopolo in the 2015 All-Africa Games qualifier at Nkoloma Stadium in Lusaka, Zambia.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Twiga Stars kuwavaa Zambia Feb. 15

TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’, inatarajia kushuka dimbani kuivaa Zambia Februari 15, katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya michuano ya mchujo ya Afrika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani