Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA YAMZUIA LOGA KURUDI KWAO

Kocha wao mkuu, Zdravko Logarusic. Na Nicodemus Jonas
UONGOZI wa Klabu ya Simba umegoma kumpa ruhusa ya kupumzika kocha wao mkuu, Zdravko Logarusic, baada ya kocha huyo kuomba mapumziko ya muda. Msemaji wa Simba, Asha Muhaji, amesema Loga aliomba likizo fupi wiki kadhaa zilizopita, lakini ikashindikana kutokana na ratiba ya ligi kubana.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Timu ya Red Arrow ya Zambia kurudi kwao baada ya ziara ya wiki moja nchini

2

Afisa habari wa timu ya Red Arrow Football Club ya Zambia Bi.Melody Siisii  (kushoto)akiwa kwenye picha ya pamoja na timu yake uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar Es Salaam jana, tayari kurudi Zambia mara baada ya ziara ya wiki moja nchini ya maandalizi ya ligi yao inayotarajiwa kuanza mwezi ujao.

1

Timu ya Red Arrow Football Club ya Zambia inayoshiriki ligi kuu nchini Zambia, wakiwa kwenye picha ya pamoja na wahudumu wa ndege ya Fastjet uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar...

 

11 years ago

GPL

Simba yamzuia straika ligi kuu kusaini mkataba

Na Lucy Mgina
STRAIKA wa Tanzania Prisons, Six Ally Mwakasega, ambaye ni mmoja wa nyota wanaotakiwa na Klabu ya Simba, amesema yupo tayari kujiunga na vijana hao wa Msimbazi iwapo tu watampa maslahi mazuri.
Six alijiunga na Prisons msimu uliopita akitokea Majimaji ya Songea ambayo ipo Ligi Daraja la Kwanza.
Akizungumza na Championi Jumatano, Six ambaye amemaliza mkataba na kikosi cha Prisons, alisema amesitisha zoezi la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga awakaribisha nyota wa Simba B

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic, ametoa ofa kwa nyota wa kikosi B, kupandishwa hadi kikosi cha kwanza kama  wataonyesha uwezo mkubwa kisoka. Loga amesema ameamua kufanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga akubali yaishe Simba

KOCHA Mkuu wa  Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...

 

11 years ago

GPL

Simba yampa Loga Sh milioni 13

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic.
Na Mwandishi Wetu
SIMBA ilimlipa Kocha Zdravko Logarusic kitita cha dola 8,000 (Sh milioni 13), siku moja kabla ya kuondoka nchini.
Simba ilitoa fedha hizo ikiwa ni sehemu ya kutimiza masharti ya Logarusic ambaye sasa yupo nyumbani kwao Croatia kwa ajili ya mapumziko.
Katika mazungumzo ya mwisho kabla ya kuondoka nchini, imeelezwa Logarusic aliueleza uongozi wa Simba kuwa,...

 

11 years ago

GPL

Loga asajili wachezaji 25 Simba SC

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Khadija Mngwai
KOCHA Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, ameutaka uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi kusajili wachezaji 25 tu msimu ujao wa ligi kuu ambapo amependekeza kuwa na makipa watatu.
Loga amekabidhi ripoti yake hivi karibuni kabla ya kwenda nchini kwao Croatia kwenye mapumziko huku akisubiri majibu iwapo ataitwa kuendelea na timu hiyo au la ambapo mkataba wake unaisha Juni,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga awavutia pumzi Simba

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Zradvic Logarusic, amesema hatorudi nchini hadi uchaguzi mkuu wa klabu hiyo wa Juni 29 utakapofanyika, hivyo kuwepo kwa uongozi wa kufanya nao mazungumzo. Kupitia...

 

11 years ago

GPL

Wachezaji: Hatumtaki Loga Simba

Kocha mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na John Joseph
TABIA ya ukali uliopitiliza, kutoa lugha kali inawezekana ikawa ni chanzo cha Kocha Zdravko Logarusic kuendelea kukwaruzana na wachezaji wake, ambapo sasa habari kamili ni kuwa, wengi wao hawana amani wanapocheza chini ya kocha huyo. Zdravko Logarusic akiwa na wachezaji wake. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa Loga… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga mabadiliko makubwa Simba

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic ‘Loga,’ juzi usiku alifanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, ikiwemo kuwaondoa kabisa kwenye kikosi cha kwanza, kipa namba moja Ivo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani