Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Milioni 42 zakamilisha usajili wa straika Simba

Na Nicodemus Jonas
TIMU ya Simba imeonesha jeuri ya fedha na kuuhakikishia umma kuwa haitaki mzaha msimu ujao, baada ya kumwaga kitita cha Sh milioni 42 kumnyakua straika wa Mbeya City, Saady Kipanga. Habari za kina kutoka kwa rafiki wa nyota huyo zinadai kuwa, Simba imempatia kitita cha Sh milioni 30 ‘keshi’, kama njia ya kumshawishi pamoja na kumuahidi mshahara wa Sh milioni moja kwa mwezi.
Mshahara huo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Simba yafuata straika Senegal

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe. Hans Mloli,Dar es Salaam
SIMBA wanajua kuwa wakifanya mchezo katika nafasi ya straika, basi msimu ujao watafulia zaidi.
Ili kuonyesha hawataki utani wameamua kusaka straika wa uhakika katika nchi tano ikiwemo Senegal pamoja Ghana kwa upande wa Afrika Magharibi. Pamoja na nchi hizo mbili, Simba wataendelea kusaka mshambuliaji mkali katika nchi za Burundi, Kenya na...

 

11 years ago

GPL

TP Mazembe yaipa Simba straika

Mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya Botswana, Jerome Ramatlhakwane. Na Mwandishi Wetu
SIMBA iko katika hatua za mwisho kumtwaa mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya Botswana, Jerome Ramatlhakwane ambaye ni mali ya TP Mazembe ya DR Congo. TP Mazembe imekubali kumtoa Ramatlhakwane, maarufu kama Rama kwa Simba kwa mkopo katika kipindi cha msimu mmoja… ...

 

11 years ago

GPL

Straika atua Simba kwa ndege

Kikosi cha timu ya Mbeya City. Martha Mboma na Nicodemus Jonas
KUONYESHA kuwa inajipanga kwa ajili ya kufanya kweli msimu ujao, Simba imeanza michakato ya usajili kwa nguvu zote ambapo imeamua kulipa nauli ya ndege kwa mshambuliaji wa Mbeya City, Saady Kipanga ikiwa ni sehemu ya kumshawishi atue klabuni hapo. Kipanga ambaye alionyesha kiwango kizuri msimu uliomalizika hivi karibuni kwenye kikosi cha Mbeya City, amekuwa...

 

11 years ago

GPL

Straika aliyeiua Yanga avunja mkataba Simba

Mshambuliaji aliyetokea kukonga mioyo ya mashabiki wa Simba kwa kufumania nyavu, Betram Mwombeki(kushoto). Na Hans Mloli
STRAIKA wa Simba, Betram Mwombeki, amesema kwamba yupo tayari kuvunja mkataba na klabu hiyo endapo ataendelea kusota benchi na kukosa amani kwenye kikosi hicho msimu ujao.
Mwombeki aliyesajiliwa na Simba iliyokuwa chini ya Abdallah Kibadeni msimu uliopita, alikuwa shujaa wa timu hiyo kwenye mechi kadhaa...

 

11 years ago

GPL

Simba yamzuia straika ligi kuu kusaini mkataba

Na Lucy Mgina
STRAIKA wa Tanzania Prisons, Six Ally Mwakasega, ambaye ni mmoja wa nyota wanaotakiwa na Klabu ya Simba, amesema yupo tayari kujiunga na vijana hao wa Msimbazi iwapo tu watampa maslahi mazuri.
Six alijiunga na Prisons msimu uliopita akitokea Majimaji ya Songea ambayo ipo Ligi Daraja la Kwanza.
Akizungumza na Championi Jumatano, Six ambaye amemaliza mkataba na kikosi cha Prisons, alisema amesitisha zoezi la...

 

11 years ago

Mwananchi

Usajili Simba shaka

Kundi maarufu la Friends Of Simba wamesimamisha zoezi la usajili la wachezaji wa klabu hiyo wakidaiwa kupima kwanza upepo.

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI SIMBA : Hatuwataki

Wakati Simba ikishindwa kusajili wachezaji nyota kwa madai ya kutokuwa kwenye hesabu zao za mwanzo, nyota hao wameibuka na kusema usajili wao ulikwamishwa na maneno matupu ya uongozi wa klabu hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani