BELLA KOMBO AAMUA KUOKOKA!
![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k7XwoZg-JsL4Lfb7Fm0gj2wq-09c5lKeZOGVkLIueOqjU4QLQUK5pf5GhK4rlVJyp9BAG*TdvgrnNmeizTbdasQ/BELAKOMBO.jpg?width=650)
Mshiriki wa Bongo Star Search (BSS), mwaka 2010/2011, Bella Kombo. Shani ramadhani MSHIRIKI wa Bongo Star Search (BSS), mwaka 2010/2011, Bella Kombo ameweka wazi kuwa sasa hivi ameamua kumtumikia Mungu na kuachana na muziki wa kidunia aliokuwa akiufanya awali. Akipiga stori na Amani, Bella alisema baada ya Shindano la BSS alikuwa anaimba katika bendi na pia ameshafanya kolabo na wasanii kama Hemed Phd, Tunda Man, Kala Jeremiah,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo515 Dec
Bella kuja na ‘Christian Bella House of Talents’
![12301240_431794427022691_698500110_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301240_431794427022691_698500110_n-300x194.jpg)
Staa wa muziki, Christian Bella ameweka wazi mpango wake wa kuanzisha lebo yake ya muziki ‘Christian Bella House of Talents’ itakayosaidia vijana wenye vipaji vya kuimba.
Muimbaji huyo aliyeachia wimbo ‘Acha Kabisa’ akiwa na Koffi Olomide hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa anafanya hivyo ili kuwasaidia vijana wanaotaka msaada wake.
“Mpango wangu mkubwa kwa mwaka 2016 ni kuanzisha record label yangu ambayo itaitwa Christian Bella House of Talents,” amesema.
“Itakuwa inasaidia vijana wenye...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N6tOykHJpwm8Eg4g55zbaUAyd6dCLAL8i8zxGhVYch8MbDYNox9sR59w-5GKtoP7u1Xg9e99aGKBZBnGdB4*fAf/aunt.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!
9 years ago
Bongo Movies26 Sep
Licha ya Kudaiwa Kuokoka… Mainda Bado Ateswa na Hili
RUTH Suka ‘Mainda’ aliye msanii wa filamu Bongo ambaye kwa sasa amejikita katika kumtumikia Mungu, amesema mtihani mkubwa ambao bado unampa wakati mgumu katika maisha ya ulokole ni uvaaji wa nguo fupi!
‘Akibadilishana sentensi’ na Amani, Mainda alisema amejitahidi kuruka na kuvuka viunzi vingi tangu kuokoka kwake, lakini ameshindwa kukabiliana na mtihani wa kuachana na uvaaji wa nguo fupi, jambo ambalo anapigana nalo kwa nguvu zote.
“Maisha ya wokovu ni mtihani mno, hakuna ulokole...
10 years ago
GPL10 Jul
9 years ago
GPLLICHA YA KUDAIWA KUOKOKA, MAINDA BADO ATESWA NA NGUO FUPI
9 years ago
TheCitizen30 Aug
It’s polls time and Tajiri TK needs Dr Kombo’s services
10 years ago
Habarileo31 Dec
Kombo aridhika na upanuzi wa Hospitali ya Abdalla Mzee
NAIBU Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo amesema ukarabati mkubwa unaofanywa katika Hospitali ya Abdalla Mzee kwa kiasi kikubwa utasaidia kuimarisha huduma za afya kwa wananchi na kupata matibabu bora.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ivj69U0teRQk5ty*ZYK8aakbhX2d42JzPo2jduMwTQ7sPkbBzyJBER99th2TT4XXccYTiOyUk3cAejFFpY5Ekcjn4aENJOzI/CCMFLYER_THABITKOMBO.jpg?width=650)
MAHMOUD THABIT KOMBO KUUNGURUMA LEO UWAMJA WA BUSTANINI