MAHMOUD THABIT KOMBO KUUNGURUMA LEO UWAMJA WA BUSTANINI
![](http://api.ning.com:80/files/ivj69U0teRQk5ty*ZYK8aakbhX2d42JzPo2jduMwTQ7sPkbBzyJBER99th2TT4XXccYTiOyUk3cAejFFpY5Ekcjn4aENJOzI/CCMFLYER_THABITKOMBO.jpg?width=650)
Na Andrew Chale, Zanzibar CHAMA cha Mapinduzi CCM, leo Januari 28, kinatarajia kufanya kampeni yake ya Sita (6) ya mkutano wa hadhara kwenye eneo la uwanja wa Bustanini, katika kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki, ambapo mgeni rasmi wa kumnadi Mgombea anatarajiwa kuwa, Mwenyekiti wa Mkoa wa Magharibi wa CCM, Mohammed Yusufu Mrefu. Akielezea mkutano huo wa Sita wa hadhara, unaotarajiwa kuwa majira ya Saa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZdYZrJA695cWp1PyL502IIw7Oji54yReQQWwP1MEWCMP5lIU5OE1PeFW63LsdWbpNAvKG08VZSrBTsKTrQ1t0n7/1Mahmoudakiwanabintiyake.jpg)
MAHMOUD THABIT KOMBO KUUNGURUMA UWANJA WA CCM MBWENI LEO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UmTytg8h6Jdru24FWFV4mg6hUG02sScyhFg1f-tx8vyKQ9xFTuWja4Kbpuj-UI*mdGqUDtFJzVZTgtZPpZjdvMX6FHCGOGgn/2Dk.shein.jpg?width=650)
RAIS SHEIN KUMNADI MAHMOUD THABIT KOMBO KIEMBESAMAKI LEO
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8XQJGQjxI5A/UvHSYt5zHhI/AAAAAAAFK54/1Crwg1fZqRo/s72-c/unnamed.jpg)
MHE. MAHMOUD THABIT KOMBO AAPISHWA kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki
![](http://4.bp.blogspot.com/-8XQJGQjxI5A/UvHSYt5zHhI/AAAAAAAFK54/1Crwg1fZqRo/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-hIJPbnnmimw/UvHSivjWTqI/AAAAAAAFK6A/Ydo9SH7hAnM/s1600/unnamed+(1).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ps7LfJnNGxw/UvHSkdNbhXI/AAAAAAAFK6I/7Q_gnkqxLoo/s1600/unnamed+(2).jpg)
10 years ago
Michuzi24 Mar
Ruhusuni wanaume wadi za leba kuchochea uzazi salama - Mahmoud Thabit Kombo
![DSC_0036](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSC_00361.jpg)
Na Mwandishi wetuNAIBU...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MAHMOUD THABIT KOMBO AFUNGA MAFUNZO YA SIKU 10 YA MFUMO WA UKUSANYAJI TAARIFA ZA AFYA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-E92NZ9u9hco/VW-zVYDF_9I/AAAAAAAHb0M/73BUu8vW1nc/s72-c/172.jpg)
HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR KUENDELEA KUTOA HUDUMA MASAA 24-THABIT KOMBO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-E92NZ9u9hco/VW-zVYDF_9I/AAAAAAAHb0M/73BUu8vW1nc/s320/172.jpg)
Wizara ya Afya Zanzibar imesema Kitengo cha Mifupa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kinaendelea kufanya kazi zake za kutoa Matibabu Masaa 24 kama kawaida kwa kufuata utaratibu maalum uliowekwa Hospitalini hapo.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo huko katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani wakati alipokuwa akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua...
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Ukawa ruksa kuunguruma leo Zanzibar