RAIS SHEIN KUMNADI MAHMOUD THABIT KOMBO KIEMBESAMAKI LEO
![](http://api.ning.com:80/files/UmTytg8h6Jdru24FWFV4mg6hUG02sScyhFg1f-tx8vyKQ9xFTuWja4Kbpuj-UI*mdGqUDtFJzVZTgtZPpZjdvMX6FHCGOGgn/2Dk.shein.jpg?width=650)
Rais wa Serikali ya Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein. Na Andrew Chale, Zanzibar MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi, Dk. Ali Mohammed Shein leo Januari 26, anatarajiwa kumnadi mgombea wa Uwakilishi wa jimbo la Kiembesamaki, Mahmoud Thabit Kombo, katika uchaguzi mdogo unaoendelea kwenye jimbo hilo visiwani hapa. Katika tarifa yake, Naibu Katibu Mkuu wa CCM...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-8XQJGQjxI5A/UvHSYt5zHhI/AAAAAAAFK54/1Crwg1fZqRo/s72-c/unnamed.jpg)
MHE. MAHMOUD THABIT KOMBO AAPISHWA kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki
![](http://4.bp.blogspot.com/-8XQJGQjxI5A/UvHSYt5zHhI/AAAAAAAFK54/1Crwg1fZqRo/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-hIJPbnnmimw/UvHSivjWTqI/AAAAAAAFK6A/Ydo9SH7hAnM/s1600/unnamed+(1).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ps7LfJnNGxw/UvHSkdNbhXI/AAAAAAAFK6I/7Q_gnkqxLoo/s1600/unnamed+(2).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ivj69U0teRQk5ty*ZYK8aakbhX2d42JzPo2jduMwTQ7sPkbBzyJBER99th2TT4XXccYTiOyUk3cAejFFpY5Ekcjn4aENJOzI/CCMFLYER_THABITKOMBO.jpg?width=650)
MAHMOUD THABIT KOMBO KUUNGURUMA LEO UWAMJA WA BUSTANINI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZdYZrJA695cWp1PyL502IIw7Oji54yReQQWwP1MEWCMP5lIU5OE1PeFW63LsdWbpNAvKG08VZSrBTsKTrQ1t0n7/1Mahmoudakiwanabintiyake.jpg)
MAHMOUD THABIT KOMBO KUUNGURUMA UWANJA WA CCM MBWENI LEO
10 years ago
Michuzi24 Mar
Ruhusuni wanaume wadi za leba kuchochea uzazi salama - Mahmoud Thabit Kombo
![DSC_0036](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSC_00361.jpg)
Na Mwandishi wetuNAIBU...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MAHMOUD THABIT KOMBO AFUNGA MAFUNZO YA SIKU 10 YA MFUMO WA UKUSANYAJI TAARIFA ZA AFYA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-E92NZ9u9hco/VW-zVYDF_9I/AAAAAAAHb0M/73BUu8vW1nc/s72-c/172.jpg)
HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR KUENDELEA KUTOA HUDUMA MASAA 24-THABIT KOMBO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-E92NZ9u9hco/VW-zVYDF_9I/AAAAAAAHb0M/73BUu8vW1nc/s320/172.jpg)
Wizara ya Afya Zanzibar imesema Kitengo cha Mifupa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kinaendelea kufanya kazi zake za kutoa Matibabu Masaa 24 kama kawaida kwa kufuata utaratibu maalum uliowekwa Hospitalini hapo.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo huko katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani wakati alipokuwa akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Muyuni Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
CCM wamteua Kombo kuwania uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki