Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ruhusuni wanaume wadi za leba kuchochea uzazi salama - Mahmoud Thabit Kombo

DSC_0036Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akipitia kijarida cha maelezo kazi zinazofanywa na taasisi inayoshughulikia na utetezi wa watoto njiti ya Doris Mollel ambaye pia ni Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15. Kulia ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Doris Mollel wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa taasisi hiyo uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi wetuNAIBU...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

KOMBO: Ruhusuni wanaume wadi za leba kuchochea uzazi salama

DSC_0036

Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akipitia kijarida cha maelezo kazi zinazofanywa na  taasisi inayoshughulikia na utetezi wa watoto njiti ya Doris Mollel ambaye pia ni Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15. Kulia ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Doris Mollel wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa taasisi hiyo uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi...

 

10 years ago

Dewji Blog

KOMBO: Ruhusuni wanaume wadi za leba kupunguza kuchochea uzazi salama

DSC_0036

Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akipitia kijarida cha maelezo kazi zinazofanywa na  taasisi inayoshughulikia na utetezi wa watoto njiti ya Doris Mollel ambaye pia ni Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15. Kulia ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Doris Mollel wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa taasisi hiyo uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi...

 

10 years ago

GPL

RUHUSUNI WANAUME WADI ZA LEBA KUCHOCHEA UZAZI SALAMA

Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akipitia kijarida cha maelezo kazi zinazofanywa na taasisi inayoshughulikia na utetezi wa watoto njiti ya Doris Mollel ambaye pia ni Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15. Kushoto ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Doris Mollel wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa taasisi hiyo uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini...

 

11 years ago

GPL

MAHMOUD THABIT KOMBO KUUNGURUMA LEO UWAMJA WA BUSTANINI

Na Andrew Chale, Zanzibar
CHAMA cha Mapinduzi CCM, leo Januari 28, kinatarajia kufanya kampeni yake ya Sita (6) ya mkutano wa hadhara kwenye eneo la uwanja wa  Bustanini, katika kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki,  ambapo mgeni rasmi wa kumnadi Mgombea anatarajiwa kuwa, Mwenyekiti wa Mkoa wa Magharibi wa CCM, Mohammed Yusufu Mrefu. Akielezea mkutano huo wa Sita wa hadhara, unaotarajiwa kuwa majira ya Saa...

 

11 years ago

GPL

MAHMOUD THABIT KOMBO KUUNGURUMA UWANJA WA CCM MBWENI LEO

Mahmoud akiwa na binti yake wakati wa kampeni zilizofanyika jana uwanja wa Bustanini. Na Andrew Chale, Zanzibar CHAMA cha Mapinduzi (CCM), leo Januari 29, kinatarajia kufanya kampeni yake ya Saba  (7) ya mkutano wa hadhara kwenye eneo la uwanja wa tawi la CCM, Mbweni, Kiembesamaki, katika kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kiembesamaki, ambapo mgeni rasmi wa kumnadi Mgombea anatarajiwa kuwa, Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini,...

 

11 years ago

GPL

RAIS SHEIN KUMNADI MAHMOUD THABIT KOMBO KIEMBESAMAKI LEO

Rais wa Serikali ya Mapinduzi,  Dk. Ali Mohammed Shein. Na Andrew Chale, Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi,  Dk. Ali Mohammed Shein leo Januari 26, anatarajiwa kumnadi mgombea wa Uwakilishi wa jimbo la Kiembesamaki, Mahmoud Thabit Kombo, katika uchaguzi mdogo unaoendelea kwenye jimbo hilo visiwani hapa. Katika tarifa yake, Naibu Katibu Mkuu wa CCM...

 

11 years ago

Michuzi

MHE. MAHMOUD THABIT KOMBO AAPISHWA kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki

 Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho akimuapisha Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Mbweni.   Muakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe.Mahmoud Thabit Kombo (alievaa koja) akiwa na baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe Baraza la wawakilishi katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa  Mhe.Mahmoud Thabit Komboa akitoka nje ya Baraza la Wawakilishi  kuwashukuru wapenzi na wanachama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani