Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kizee chauawa kwa kudaiwa mchawi, India

Bibi kizee mmoja amenyongwa hadi kufa na wanakijiji wenzake kwa tuhuma za ushirikina, kaskazini mashariki mwa India.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

BIBI KIZEE AUAWA KIKATILI KWA IMANI ZA KISHIRIKINA, KAHAMA

Bibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani kwa kile kinachohisiwa kuwa ni imani za Kishirikina.Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo limetokea leo majira ya saa tatu asubuhi katika Mtaa wa Nyahanga, wilayani humo, ambapo Marehemu Rebeka alienda nyumbani kwa mtoto wake Bundala Sengasenga alikokuwa ameitwa na mke wa Bundala kusaidia kuanika Dengu.
Imeelezwa kuwa Merehemu Rebeka ambaye alikuwa akiishi kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kudaiwa kumuua dereva bodaboda

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariPOLISI mkoani Katavi inawashikilia watu watatu wakituhumiwa kumuua kikatili kwa kumchinja dereva wa pikipiki ‘bodaboda’ Frank Joseph (25) mkazi wa Mtaa wa Nsemulwa mjini Mpanda kisha kumpora pikipiki yake.

 

5 years ago

CCM Blog

DIWANI WA SINZA CHADEMA AMALIZA UDIWANI WAKE KWA KWENDA 'ROKAPU' NA KUFUNGULIWA JALADA TAKUKURU KWA KUDAIWA KULAMBA FEDHA ZA KINAMAMA

Godfrey Chikandamwali Na Bashir Nkoromo 
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sinza kwa tiketi ya Chadema Godfrey Chikandamwali jana, alimaliza udiwani wake kwa kuwekwa 'rokapu' na Polisi na kisha kufunguliwa jalada TAKUKURU, kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori, kwa tuhuma za kukaidi wito wa mkuu huyo wa wilaya na pia kutafuna mamilioni ya fedha za kikundi cha kina mama.

Akizungumza kwenye Kikao cha mwisho cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Mkuu huyo wa Wilaya...

 

10 years ago

Habarileo

Amuua mdai wake kwa kukerwa kudaiwa Sh 80,000

Kamanda wa Polisi mkoani Mara , Philpo KalangiMWANAMKE Caseline Mzee (75) mkazi wa kijiji cha Guta wilayani Bunda, mkoani Mara, ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kunyongwa na kisha mwili wake kutupwa ndani ya mto, ukiwa umefungiwa mawe mazito ili usielee.

 

11 years ago

CloudsFM

HOTELI YA BLUE PEARL YAFUNGWA KWA KUDAIWA MADENI

Hoteli ya Blue Pearl ya jijini,Dar imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya mmiliki wake kushindwa kulipa kodi ya pango ya Dola za Marekani 3,800,000 sawa na Sh6 bilioni ambazo alilimbikiza kwa miaka mingi. Jana mchana wafanyakazi wa Kampuni ya Udalali ya Majembe walifika hotelini hapo na kuanza kutoa nje samani zilizokuwa ndani ya hoteli na kuzipakia kwenye lori lililokuwa limepaki nje ya lango kuu la kuingilia. Hali hiyo ilisababisha kusitishwa kwa huduma zilizokuwa zikitolewa na wateja...

 

9 years ago

Bongo5

Tyga matatani, ni kwa kudaiwa kumtongoza binti wa miaka 14 kwenye Instagram (Video)

0104-kylie-tyga-ok-magazine-sub-underage-girl-ok-magazine-4

Tyga yupo kwenye kiti moto. Ni kwa kudaiwa kuwa na uhusiano na msichana wa miaka 14 aliyemtafuta kupitia Instagram.

Hivi ndivyo msichana huyo alivyosema:

“I’m very upset that a story about Tyga, Kylie Jenner and me was published in OK! Magazine and I want people to know the truth. The truth is that Tyga contacted me first. He direct-messaged me on Instagram. I knew who he was, but I was surprised that he was contacting me. I thought that it could possibly be about my music but he did not...

 

10 years ago

Bongo5

Beyonce na Jay Z washtakiwa na mwimbaji wa Hungary kwa kudaiwa kutumia sauti yake bila idhini kwenye ‘Drunk In Love’

Mwimbaji wa Hungary amewashtaki Jay Z, Beyonce na Timberland kwa madai ya kutumia sauti yake kwenye wimbo wa ‘Drunk In Love’ bila idhini yake. Kwa mujibu wa TMZ, mwimbaji huyo wa kike aitwaye Monika Miczura Juhasz a.k.a Mitsou, amedai kuwa mastaa hao wali-sample wimbo wake uliorekodiwa mwaka 1995 uitwao “Bajba, Bajba Pelem.” Mitsou amedai kulipwa […]

 

11 years ago

GPL

BIBI KIZEE AJIANDALIA JENEZA!

Stori: Mwandishi Wetu, Songea
Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo litatumika kumzikia siku atakayoaga dunia. Bibi Scholastica Mhagama(76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Scholastica alisema alilitengeneza jeneza hilo zaidi ya miaka mitano...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA IRINGA AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA KUDAIWA KUPIGA PICHA MAHAKAMANI.

Polisi  wamemakamata  mwenyekiti wa chama cha  waandishi wa habari  mkoa  wa Iringa (IPC) Frank Leonard (kushoto)  wakimtuhumu kupiga  picha mahakamani. Hadi  sasa amewekwa  chini ya ulinzi wa polisi huku kesi ya mtuhumiwa wa mauwaji ya Mwangosi ikiendelea kusomwa.  
Picha na Francis Godwin-Iringa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani