BIBI KIZEE AJIANDALIA JENEZA!
![](http://api.ning.com:80/files/Y9Yc5qVXVzSlq*9Uvgu-Sbs6AT4GSqYwcv9u-wsplvn9RGqrBBLnTblaCjx9Ccv-2xeFS93f6zYlcEblSaPTHu-zLjO8XoXX/bibi.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu, Songea Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo litatumika kumzikia siku atakayoaga dunia. Bibi Scholastica Mhagama(76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Scholastica alisema alilitengeneza jeneza hilo zaidi ya miaka mitano...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLRuXzAl-pfFh-onLsE-lJDQgSDMi0z1TwT*UF5HsThA6b6rky8pzAukwStl-ovXtYo08kN3xpCURWjuamtQVLae/BAKUWAZI.jpg?width=650)
BIBI KIZEE ATAJWA GHARIKA KAHAMA
10 years ago
Mtanzania31 Jan
Bibi kizee aanguka akiwa anasafiri angani
Na Kadama Malunde, Shinyanga
KATIKA hali ya kushangaza, bibi kizee anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka (70), asiyejulikana jina wala makazi yake, ameanguka akiwa uchi wa mnyama nyumbani kwa Suzana Mwandu, mkazi wa Mtaa wa Mageuzi mkoani Shinyanga.
Tukio hilo lilitokea juzi ambapo bibi huyo baada ya kuanguka alianza kutembelea makalio bila kuzungumza chochote jambo ambalo limedaiwa ni ushirikina.
Akielezea tukio hilo jana, Mwandu alisema lilitokea nje ya nyumba ambapo alishangazwa kumkuta...
11 years ago
CloudsFM25 Jun
BIBI KIZEE AUAWA KIKATILI KWA IMANI ZA KISHIRIKINA, KAHAMA
Bibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani kwa kile kinachohisiwa kuwa ni imani za Kishirikina.Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo limetokea leo majira ya saa tatu asubuhi katika Mtaa wa Nyahanga, wilayani humo, ambapo Marehemu Rebeka alienda nyumbani kwa mtoto wake Bundala Sengasenga alikokuwa ameitwa na mke wa Bundala kusaidia kuanika Dengu.
Imeelezwa kuwa Merehemu Rebeka ambaye alikuwa akiishi kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDDObF*Re82R8Ck89kZezXYbEByWCwdDx95p1AjSyktucdvrdQ*2kzsglSXTQHkdH2wTroXuzb6g70XxDCe4yRAs/3.jpg?width=650)
MPIGA PICHA ATUMIA MIAKA 2 KUJIFANYA BIBI KIZEE ILI KUJUA WAZEE WANAVYOISHI
10 years ago
Habarileo12 Feb
Ajiandalia maziko miaka 14 sasa
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mkazi wa mjini Namanyere wilayani hapa mkoa wa Rukwa, Gilbert Paul (37) aliyejiandalia maziko yake miaka 14 iliyopita, bado yu hai.
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Kizee chauawa kwa kudaiwa mchawi, India
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9zn28TM292GiMko3lnN3fRjpZUmRzvl0iVX7vauXJDwpqTKx9siNNAmB16durDOVxCMYMbbxyyjV7-AJk9UlS-4/chuchu.jpg)
CHUCHU AZIRAI NDANI YA JENEZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e4QG9g3mWCczIgx75oPQMAWCkxMPLXNh06TtsaVhM3zjcxmR6wxitAQC5mgEfKnAqjn*LL0bFCOiKb-ZT7x8fjmCCUlHTNIq/ytony.jpg?width=650)
Y-TONY: KUPANDA JUKWAANI NA JENEZA NI UBUNIFU TU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJLclRY0NH2xd9E8HHz75BLOctE7eQu8NGUgjbTnFYYYzCNE9pCd60yoUFhyLz7jayYx*XP5mAWHtJUVobl9xEQt/e.jpg?width=650)
LADY JAYDEE AJICHAGULIA JENEZA LA PILI