Bibi kizee aanguka akiwa anasafiri angani
Na Kadama Malunde, Shinyanga
KATIKA hali ya kushangaza, bibi kizee anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka (70), asiyejulikana jina wala makazi yake, ameanguka akiwa uchi wa mnyama nyumbani kwa Suzana Mwandu, mkazi wa Mtaa wa Mageuzi mkoani Shinyanga.
Tukio hilo lilitokea juzi ambapo bibi huyo baada ya kuanguka alianza kutembelea makalio bila kuzungumza chochote jambo ambalo limedaiwa ni ushirikina.
Akielezea tukio hilo jana, Mwandu alisema lilitokea nje ya nyumba ambapo alishangazwa kumkuta...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y9Yc5qVXVzSlq*9Uvgu-Sbs6AT4GSqYwcv9u-wsplvn9RGqrBBLnTblaCjx9Ccv-2xeFS93f6zYlcEblSaPTHu-zLjO8XoXX/bibi.jpg)
BIBI KIZEE AJIANDALIA JENEZA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLRuXzAl-pfFh-onLsE-lJDQgSDMi0z1TwT*UF5HsThA6b6rky8pzAukwStl-ovXtYo08kN3xpCURWjuamtQVLae/BAKUWAZI.jpg?width=650)
BIBI KIZEE ATAJWA GHARIKA KAHAMA
11 years ago
CloudsFM25 Jun
BIBI KIZEE AUAWA KIKATILI KWA IMANI ZA KISHIRIKINA, KAHAMA
Bibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani kwa kile kinachohisiwa kuwa ni imani za Kishirikina.Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo limetokea leo majira ya saa tatu asubuhi katika Mtaa wa Nyahanga, wilayani humo, ambapo Marehemu Rebeka alienda nyumbani kwa mtoto wake Bundala Sengasenga alikokuwa ameitwa na mke wa Bundala kusaidia kuanika Dengu.
Imeelezwa kuwa Merehemu Rebeka ambaye alikuwa akiishi kwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDDObF*Re82R8Ck89kZezXYbEByWCwdDx95p1AjSyktucdvrdQ*2kzsglSXTQHkdH2wTroXuzb6g70XxDCe4yRAs/3.jpg?width=650)
MPIGA PICHA ATUMIA MIAKA 2 KUJIFANYA BIBI KIZEE ILI KUJUA WAZEE WANAVYOISHI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mho3iXQWZ3E/VNX41uzHDhI/AAAAAAAHCV0/os9wcy76dUU/s72-c/0L7C1936.jpg)
Shamba la Bibi na Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam toka angani
![](http://4.bp.blogspot.com/-mho3iXQWZ3E/VNX41uzHDhI/AAAAAAAHCV0/os9wcy76dUU/s1600/0L7C1936.jpg)
10 years ago
CloudsFM03 Dec
MWANAUME ADAIWA KUDONDOKA ANGANI AKIWA NA MATITI
Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina lake na mahali anapoishi amedaiwa kuanguka angani akiwa mtupu kama alivyozaliwa huku akiwa na matiti kama mwanamke,mwanaume huyo alinusurika kupigwa na wananchi wenye hasira na kuokolewa na polisi na kupelekwa kwenye kituo cha polisi cha Magomeni.
Mwanaume huyo ambaye anahusishwa na imani za kishirikiana akiwa amepewa nguo katika kituo cha polisi cha Magomeni,jijini Dar.
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Kizee chauawa kwa kudaiwa mchawi, India
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Akiwa Waziri Mkuu eti wapigwe tu, akiwa rais si atasema wachinjw
MOJA ya wosia wa Baba wa Taifa Julius Nyerere ni kutaka wanaoutamani urais wa nchi kujitokeza mapema ili wananchi wapate muda wa kutosha wa kuwatambua, kuwafahamu na kuwajadili. Alisema hivyo...
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
PICHA: Timbwili Mitandaoni, Diamond Akiwa na Zari Huku Wema Akiwa na Ommy
Kweli mafahari wikigombana nyasi ndio uumia! Picha za mwanamziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandao usiku wa kuamkia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingreza kuwa wanaelekea siku ya Valentine “Road to Valentine...”
Zilizua timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia “Project hii” na wale wa Wema aka TeamWema walikuwa wakiponda na kumshabulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa...