Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIBI KIZEE ATAJWA GHARIKA KAHAMA

Na Issa Mnally, Kahama
MENGI yamesemwa na yanaendelea kusemwa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha wilayani Kahama, Shinyanga na kuua watu 45 huku wengine 92 wakijeruhiwa, achilia mbali waliopoteza makazi yao.
Habari za hivi karibuni zinadai kuwa, mvua hiyo licha ya kutabiriwa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) lakini wakazi wa maeneo hayo wanaamini ina mkono wa bibi kizee ‘kikongwe’ mmoja ambaye hakutajwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

BIBI KIZEE AUAWA KIKATILI KWA IMANI ZA KISHIRIKINA, KAHAMA

Bibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani kwa kile kinachohisiwa kuwa ni imani za Kishirikina.Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo limetokea leo majira ya saa tatu asubuhi katika Mtaa wa Nyahanga, wilayani humo, ambapo Marehemu Rebeka alienda nyumbani kwa mtoto wake Bundala Sengasenga alikokuwa ameitwa na mke wa Bundala kusaidia kuanika Dengu.
Imeelezwa kuwa Merehemu Rebeka ambaye alikuwa akiishi kwa...

 

11 years ago

GPL

BIBI KIZEE AJIANDALIA JENEZA!

Stori: Mwandishi Wetu, Songea
Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo litatumika kumzikia siku atakayoaga dunia. Bibi Scholastica Mhagama(76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Scholastica alisema alilitengeneza jeneza hilo zaidi ya miaka mitano...

 

10 years ago

Mtanzania

Bibi kizee aanguka akiwa anasafiri angani

SAM_2318Na Kadama Malunde, Shinyanga

KATIKA hali ya kushangaza, bibi kizee anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka (70), asiyejulikana jina wala makazi yake, ameanguka akiwa uchi wa mnyama nyumbani kwa Suzana Mwandu, mkazi wa Mtaa wa Mageuzi mkoani Shinyanga.
Tukio hilo lilitokea juzi ambapo bibi huyo baada ya kuanguka alianza kutembelea makalio bila kuzungumza chochote jambo ambalo limedaiwa ni ushirikina.
Akielezea tukio hilo jana, Mwandu alisema lilitokea nje ya nyumba ambapo alishangazwa kumkuta...

 

10 years ago

GPL

MPIGA PICHA ATUMIA MIAKA 2 KUJIFANYA BIBI KIZEE ILI KUJUA WAZEE WANAVYOISHI

Kyoko Hamada katika mizunguko yake kama bibi kizee. IMEZOELEKA kuwa binadamu wengi hupenda kuonekana vijana hata kama umri umeenda huku wengine wakitumia baadhi ya vipodozi, dawa za kuficha mvi na kuvaa mavazi yanayofanya waonekane vijana japo si vijana. Mpigapicha Kyoko Hamada (42), yeye aliamua kuwa tofauti na kuishi kwa miaka miwili akijifanya bibi kizee ili kujua hasa wazee wanavyochukuliwa katika jamii. Hamada, ambaye ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kizee chauawa kwa kudaiwa mchawi, India

Bibi kizee mmoja amenyongwa hadi kufa na wanakijiji wenzake kwa tuhuma za ushirikina, kaskazini mashariki mwa India.

 

10 years ago

Habarileo

Maafa zaidi ya gharika Dar

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha baadhi ya nyumba kumezwa na mafuriko kama inavyoonekana katika picha hii.MAAFA zaidi yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha kwa zaidi ya saa 48 mfululizo jijini Dar es Salaam, yameendelea kutokea ambapo mbali na vifo vya watu watano, mamia ya nyumba zimefunikwa na maji.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni gharika kwa watu zaidi ya 50 sakata la Escrow

>Moto wa kashfa ya ufisadi katika akaunti ya Tegeta Escrow unaoendelea kuwaka bungeni, sasa unaonekana kugeuka gharika inayoweza kuwakumba vigogo wengi zaidi na kuiweka Serikali ya Rais Jakaya Kikwete katika hali ngumu.

 

9 years ago

Michuzi

GHARIKA YA Dkt MAGUFURI MJINI TABORA LEO

 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli,akiwahutubia Wananchi wa Tabora jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa  Ali Hassan Mwinyi.Dkt Magufuli alisema kuwa Serikali yake kwa sehemu kubwa itakuwa upande wa wananchi wanyonge ili hatimaye wawe na maisha yenye neema na kwenye hilo ana uhakika atafanya kazi nzuri maana kwake yeye ni kazi tu na hakuomba kuwa Rais ili awe mwanasiasa bali anaomba nafasi hiyo kwa kujua anajua namna ambavyo amejipanga kufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani