Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GHARIKA YA Dkt MAGUFURI MJINI TABORA LEO

 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli,akiwahutubia Wananchi wa Tabora jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa  Ali Hassan Mwinyi.Dkt Magufuli alisema kuwa Serikali yake kwa sehemu kubwa itakuwa upande wa wananchi wanyonge ili hatimaye wawe na maisha yenye neema na kwenye hilo ana uhakika atafanya kazi nzuri maana kwake yeye ni kazi tu na hakuomba kuwa Rais ili awe mwanasiasa bali anaomba nafasi hiyo kwa kujua anajua namna ambavyo amejipanga kufanya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

GHARIKA YA DTK MAGUFURI MJINI TABORA LEO

Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Dk John Pombe Mgufuli mjini Tabora hii leo. Kwa picha zaidi tazama baadae.

 

9 years ago

Michuzi

WAZEE WAMWOMBA RAIS DKT. MAGUFURI AWAKUMBUKE

Wazee waishio kata ya Kimandolu wilaya ya Arusha mkoani Arusha wamemuomba Rais John Pombe Magufuli awakumbuke wazee kwa kuhakikisha kuwa wanapata huduma bora za afya ,lishe bora na kupata mafao ya uzeeni kutokana na mchango wao katika ujenzi wa taifa kupitia sekta binafsi na za serikali tangu nchi ipate uhuru.
Wazee hao ambao wanaishi katika hali ngumu za kimaisha na wengine kutokua na uhakika wa milo mitatu huku wakikabiliwa na jukumu la kulea familia zao pamoja na wajukuu licha ya uzee...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAPA URAIA WAKIMBIZI WA BURUNDI 162,156 MJINI TABORA LEO

 Rais Jakaya Kikwete akimpa cheti cha uraia wa Tanzania, Loveness Ruhaga (kulia) aliyekuwa Mkimbizi kutoka nchini Burundi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Tabora leo. Rais Kikwete alitoa vyeti vya uraia kwa wakimbizi 162,156 na kuwatangazia kuwa sasa wamekuwa raia halali wa Tanzania hivyo wahakikishe wanafuata sheria zote za nchi na waepuke kufanya vurugu za aina yoyote kwani wakikiuka masharti hayo waweza kunyanganywa uraia huo. Wakimbizi hao...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI MJINI ZANZIBAR LEO


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt. Juma Yakout Juma kuwa Naibu  Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Khadija Bakari Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFUNGUA HOSPITALI YA GLOBAL, VUGA MJINI UNGUJA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuifungua Hospitali ya Global Hospital iliyopo Mtaa wa Vuga Mjini Unguja leo (kushoto ni Dkt,K.Ravindranath Daktari Mkuu na Mwenyekiti wa Kampuni ya Global Hospital (kulia) Mwenyekiti wa Kampuni ya Vigor Turky Salim Hassan Turky.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo alipotembelea mashine ya Xray baada ya kuifungua Hospitali ya Global...

 

9 years ago

Vijimambo

GHARIKA LA LOWASSA NDANI YA MJI WA MERERAJI, SIMANJIRO MKOANI MANYARA LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mererani, katika Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye uwanja wa Machinjioni, Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 25, 2015.
Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara wakionyesha furaha yao mbele ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Bilal afunga Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa mjini Musoma leo

Hussein Makame-MAELEZO, Musoma  MAKAMU wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohgamed Ghalib Bilal amesema kuwa kila ahadi ya Serikali iliyotolewa itatimizwa ili kuhakikisha kuwa inaacha kazi nyepesi kwa viongozi watakaokuja katika kuendeleza maendeleo ya Tanzania.  Dkt. Bilal aliyasema hayo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani ambayo kitaifa yamefanyika mkoani Mara yakiwa na Kaulimbiu isemayo “Maji kwa Mandeleo Endelevu.  Katika kilele cha Maadhimisho...

 

9 years ago

Vijimambo

DKT. SHEIN, MAALIM SEIF WASHIRIKI BARAZA LA EID EL-HAJJ MJINI ZANZIBAR LEO

Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji Khamis, Rais wa Zanzibar, Dkt. Alhaj Ali Mohammed Shein, Waziri wa Sheria na Katiba wa Zanzibar,Abubar Khamis Bakary Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, na Rais mstaaffu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakiwa kwenye baraza la Eid El Hajj, mjini Zanzibar leo Septemba 24, 2015. Waislamu kote Duniani wanasherehekea sikukuu ya Eid El HajjRais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani