RAIS KIKWETE AWAPA URAIA WAKIMBIZI WA BURUNDI 162,156 MJINI TABORA LEO
.jpg)
Rais Jakaya Kikwete akimpa cheti cha uraia wa Tanzania, Loveness Ruhaga (kulia) aliyekuwa Mkimbizi kutoka nchini Burundi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Tabora leo. Rais Kikwete alitoa vyeti vya uraia kwa wakimbizi 162,156 na kuwatangazia kuwa sasa wamekuwa raia halali wa Tanzania hivyo wahakikishe wanafuata sheria zote za nchi na waepuke kufanya vurugu za aina yoyote kwani wakikiuka masharti hayo waweza kunyanganywa uraia huo. Wakimbizi hao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Oct
JK awapa uraia wakimbizi 162
RAIS Jakaya Kikwete, ametoa hati za uraia wa Tanzania kwa wakimbizi 162 kutoka Burundi ambao wameishi nchini kwa miaka 42, tokea mwaka 1972. Taarifa iliyosambazwa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano...
11 years ago
Habarileo16 Oct
Wakimbizi 162 wa Burundi wapewa uraia
RAIS Jakaya Kikwete ametoa hati za uraia wa Tanzania kwa wakimbizi 162 kutoka nchi jirani ya Burundi na ambao wameishi nchini kwa miaka 42, tangu mwaka 1972. Alitoa hati hizo juzi mjini Tabora, ikiwa nisehemu ya ziara yake ya kikazi ya siku mbili kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo.
11 years ago
Vijimambo
Rais Kikwete atoa Uraia kwa Wakimbizi wa Burundi- Aongoza Vikao vya CCM Dodoma



11 years ago
TheCitizen31 May
162,156 Burundians get TZ citizenship
10 years ago
Habarileo17 Sep
Magufuli kuwapa uraia wakimbizi Burundi
MGOMBEA urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amesema anatambua jitihada zilizofanywa na Rais Jakaya Kikwete za kutoa uraia kwa waathirika wa vita vya Burundi waliokimbilia Tanzania, hivyo akichaguliwa kuwa rais ataendeleza jitihada hizo.
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO JANA

10 years ago
GPL
RAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO JANA
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Rais Kikwete kufungua kiwanda cha Viuadudu leo mjini Kibaha
Press Release.doc
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Rais Kagame awapa mbinu viongozi wa Burundi kutafuta suluhu