Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GHARIKA YA DTK MAGUFURI MJINI TABORA LEO

Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa Dk John Pombe Mgufuli mjini Tabora hii leo. Kwa picha zaidi tazama baadae.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

GHARIKA YA Dkt MAGUFURI MJINI TABORA LEO

 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli,akiwahutubia Wananchi wa Tabora jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa  Ali Hassan Mwinyi.Dkt Magufuli alisema kuwa Serikali yake kwa sehemu kubwa itakuwa upande wa wananchi wanyonge ili hatimaye wawe na maisha yenye neema na kwenye hilo ana uhakika atafanya kazi nzuri maana kwake yeye ni kazi tu na hakuomba kuwa Rais ili awe mwanasiasa bali anaomba nafasi hiyo kwa kujua anajua namna ambavyo amejipanga kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAPA URAIA WAKIMBIZI WA BURUNDI 162,156 MJINI TABORA LEO

 Rais Jakaya Kikwete akimpa cheti cha uraia wa Tanzania, Loveness Ruhaga (kulia) aliyekuwa Mkimbizi kutoka nchini Burundi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Tabora leo. Rais Kikwete alitoa vyeti vya uraia kwa wakimbizi 162,156 na kuwatangazia kuwa sasa wamekuwa raia halali wa Tanzania hivyo wahakikishe wanafuata sheria zote za nchi na waepuke kufanya vurugu za aina yoyote kwani wakikiuka masharti hayo waweza kunyanganywa uraia huo. Wakimbizi hao...

 

9 years ago

Vijimambo

GHARIKA LA LOWASSA NDANI YA MJI WA MERERAJI, SIMANJIRO MKOANI MANYARA LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mererani, katika Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye uwanja wa Machinjioni, Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 25, 2015.
Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara wakionyesha furaha yao mbele ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati...

 

10 years ago

Habarileo

Chadema wachuana ubunge Tabora Mjini

WANACHAMA watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kuingia katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa katika Ukawa kuwania ubunge jimbo la Tabora Mjini.

 

9 years ago

Habarileo

Wanaopinga ubunge Tabora Mjini kulipia milioni 9/-

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tabora imewataka wananchi wanne waliofungua kesi ya kupinga matokea ya uchaguzi ya ubunge katika Jimbo la Tabora Mjini, kulipia Sh milioni tisa kama dhamana ndipo shauri hilo lisikilizwe.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya Tigo Igombe Marathon yafana mjini Tabora

  Wanariadha wakianza mbio za Igombe Marathon zilizo dhaminiwa na Tigo, mjini Tabora. Mgeni rasmi, Mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, Bw.Suleiman Kumchaya (katikati na track suit ya samawati), akiwaongoza wanariadha katika mbio za Tigo Igombe Marathon.


  Mgeni rasmi wa Tigo Igombe Marathon, Bw.Suleiman Kumchaya, Mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, akiwahutubia washiriki wa mbio hizo (hawapo pichani), kulia kwake ni Bw.Kamara Kalembo, Meneja masoko kanda ya Ziwa kutoka Tigo, na Kushoto ni OCD wa...

 

9 years ago

StarTV

  CUF kwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi Tabora mjini.

Chama cha Wananchi CUF Mkoa wa Tabora kimeazimia kufungua kesi mahakamani mapema wiki hii kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya mgombea wa CCM aliyetangazwa kuwa mshindi wa Jimbo la Tabora Mjini.

Kauli hiyo imetolewa kutokana na kile kilichodaiwa kuwa mgombea wa CUF alipata kura nyingi zaidi ya mgombea wa Chama cha Mapinduzi.

 Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia CUF chini ya mwamvuli wa UKAWA, Peter Mkufya akisisitiza kwenda mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuporwa...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AFANYA MKUTANO WA KAMPENI BUKENE,NZEGA JIONI KUUNGURUMA TABORA MJINI

  Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Nzega mapema leo mchana katika uwanja wa Barafu,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,Dkt Magufuli anatarajia kuunguruma jioni ya leo mjini Tabora. Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Nzega mapema leo mchana katika uwanja wa Barafu,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,Dkt Magufuli anatarajia kuunguruma jioni ya leo mjini Tabora. Wakazi wa Nzega mkoani Tabora wakimsikiliza mgombea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani