Mashindano ya Tigo Igombe Marathon yafana mjini Tabora
Wanariadha wakianza mbio za Igombe Marathon zilizo dhaminiwa na Tigo, mjini Tabora. Mgeni rasmi, Mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, Bw.Suleiman Kumchaya (katikati na track suit ya samawati), akiwaongoza wanariadha katika mbio za Tigo Igombe Marathon.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
Mashindano ya Tigo Kili Half Marathon yafana mjini Moshi
Kaimu Meneja wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo Cecile Tiano (wa pili) kushoto, akiwa katika picha na baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo kabla ya kuanza kwa mashindano ya Tigo Kili Half Marathon iliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ushirika Mjini Moshi.
Washindi wa mashindano ya Tigo Kili Marathon, kwa upande wa Wanawake, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, katika mashindano hayo yaliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika...
11 years ago
Dewji Blog09 Jun
Mashindano ya mbio za Mbuzi “Blue Smilerace” kwa udhamini wa Tigo yafana jijini Dar
Mbuzi wakishindana kwenye mbio za Mbuzi zilizopewa jina la “blue smilerace” zilizodhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya simu za mikononi Tigo.
Mkurugenzi wa kampuni ya ya mawasiliano ya simu za mikononi ya Tigo Bw. Diego Gutierrez akimkabidhi cheti cha mchango wa hisani kwa Meneja wa Mawasiliano wa CCBRT Bi.Alexandra Cairns kwenye mashindano ya mbio za mbuzi yaliyofana mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano simu za mikononi ya Tigo Bw. Diego...
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Tigo yatoa udhamini kwa washindi wa Tigo Ngorongoro Run kushiriki Tigo Kili Half Marathon 2015
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Kanda ya Kaskazini, David Charles akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa wanariadha ambao walishinda mbio za mwaka jana za Tigo Ngorongoro Run Marathon kushirki kwenye mbio za mwaka huu za Tigo Kili Half Marathon, Kushoto kwake ni Meneja wa Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha na Kulia kwake ni mwanariadha Mary Naali na Mjumbe toka Riadha Tanzania Meta Petro. Mkutano huo ulifanyika Mkoani Arusha jana.
10 years ago
MichuziMashindano ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yazinduliwa mjini Bagamoyo leo
11 years ago
GPLTIGO NGORONGORO MARATHON
10 years ago
VijimamboMTANZANIA ALIESHIRIKI MASHINDANO YA NEW YORK MARATHON
11 years ago
Dewji Blog21 Apr
Alphoce Felix na Jackline Sakilu washindi wa Tigo Ngorongoro Marathon
Kaimu Mhifadhi wa Mbuga ya Ngorongoro, Bw. Amio Amio ambaye aliyemwakilisha mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Tigo Ngorongoro zilizofanyika jana Aprili 19, 2014 kuanzia Mbuga ya Ngorongoro na kuishia mjini Karatu akiongea machache wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi zawadi zao. Pembeni yake ni Mkurugenzi wa Kanda wa Kampuni ya simu ya mkononi ya TIGO, Brian Kalokola.
Kaimu Mhifadhi wa Mbuga ya Ngorongoro, Bw. Amio Amio (kushoto) na Mkurugenzi wa Kanda wa Kampuni ya simu ya...