TIGO NGORONGORO MARATHON
![](http://api.ning.com:80/files/iAT0B9wCR3C0MkbDbJ8fiMzdhadNh--iIsCYkJhNe0E*vN3Ua3-KKafRJEtTnSDIRB7w25Hkq8e6OYSDHfbqHV-J1UjWnkCq/Tigo.jpg?width=650)
Meneja Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha akizungumza na waandishi wa habari mapema leo wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni hiyo katika mbio za 'Tigo Ngorongoro Marathon' zitakazofanyika 19 Aprili 2014 wilayani Karatu, Ngorongoro - Arusha. Kushoto ni Mratibu wa mbio hizo, Datus Joseph, kutoka kampuni ya utalii ya Zara Tours. Mratibu wa Matukio, Datus Joseph, kutoka kampuni ya utalii ya Zara Tours… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Tigo yatoa udhamini kwa washindi wa Tigo Ngorongoro Run kushiriki Tigo Kili Half Marathon 2015
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Kanda ya Kaskazini, David Charles akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa wanariadha ambao walishinda mbio za mwaka jana za Tigo Ngorongoro Run Marathon kushirki kwenye mbio za mwaka huu za Tigo Kili Half Marathon, Kushoto kwake ni Meneja wa Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha na Kulia kwake ni mwanariadha Mary Naali na Mjumbe toka Riadha Tanzania Meta Petro. Mkutano huo ulifanyika Mkoani Arusha jana.
11 years ago
Dewji Blog21 Apr
Alphoce Felix na Jackline Sakilu washindi wa Tigo Ngorongoro Marathon
![](http://1.bp.blogspot.com/--AvMCeMuqK8/U1SZ00-v0BI/AAAAAAAA5Ks/9oLepUXzUgU/s1600/NGOR+3.jpg)
Kaimu Mhifadhi wa Mbuga ya Ngorongoro, Bw. Amio Amio ambaye aliyemwakilisha mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Tigo Ngorongoro zilizofanyika jana Aprili 19, 2014 kuanzia Mbuga ya Ngorongoro na kuishia mjini Karatu akiongea machache wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi zawadi zao. Pembeni yake ni Mkurugenzi wa Kanda wa Kampuni ya simu ya mkononi ya TIGO, Brian Kalokola.
![](http://4.bp.blogspot.com/-LoWsfvDgp_M/U1SZc1Is20I/AAAAAAAA5IY/UgK-RV9DK_0/s1600/NGOR+1.jpg)
Kaimu Mhifadhi wa Mbuga ya Ngorongoro, Bw. Amio Amio (kushoto) na Mkurugenzi wa Kanda wa Kampuni ya simu ya...
11 years ago
IPPmedia23 Apr
Ngorongoro half marathon
IPPmedia
IPPmedia
The seventh edition of the Ngorongoro half marathon was held over the weekend in Karatu and Alphonce Felix and one Jack line emerged winners. The event was organised by Rift Valley Athletic Club and a charity organisation based in Moshi. Besides the ...
Kikwete 'stops' hotels in NgorongoroDaily News
all 4
11 years ago
Daily News24 Jan
Ngorongoro half marathon set for April 19
Daily News
THE 7th Ngorongoro Half-Marathon will be held in Karatu, Arusha Region, on April 19, this year and is expected to attract many entries. The annual event, which is organised jointly by Zara Charity and the Rift Valley Athletics Club, will start from the ...
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
Mbio za kimataifa za Ngorongoro Marathon sasa kufanyika Aprili 18
Waandaaji wa mbio za kimataifa za Ngorongoro Maratahoni katika mkutano na wanahabari kuzungumzia maandalizi ya mwisho ya mbio hizo zinazotarajia kufanyika Aprili 18 mwaka huu ,Karatu mkoani Arusha.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania Adventure na Zara Charity,Zainab Ansel akizungumza na wanahabari kuhusu maandalizi ya mbio hizo ambazo zinadhaminiwa na Shirika lisilo la kiserikali la Zara Charity.
Mratibu wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni Meta Peter akizungumzuia wanariadha wa Tanzania ambao...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MBjxXEXvjl0/VTiHb2YGa4I/AAAAAAAC3hQ/qDDHXN2ufuc/s72-c/Exim%2BPix%2B1.jpg)
Benki ya Exim yapiga jeki mbio za marathon Ngorongoro
![](http://3.bp.blogspot.com/-MBjxXEXvjl0/VTiHb2YGa4I/AAAAAAAC3hQ/qDDHXN2ufuc/s1600/Exim%2BPix%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-k3YMfVYSBa4/VTiHhjbjobI/AAAAAAAC3hY/mUovDxR81o8/s1600/Exim%2BPix%2B2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lzxcmq-zAXY/Xmoo3B20_tI/AAAAAAALiw4/IMFTK7AB6tI8pP8Jcz9eX0HOV-odClC4QCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200312_103909_875.jpg)
MBIO ZA NGORONGORO MIN MARATHON KUFANYIKA APRIL 19 MWAKA HUU
![](https://1.bp.blogspot.com/-lzxcmq-zAXY/Xmoo3B20_tI/AAAAAAALiw4/IMFTK7AB6tI8pP8Jcz9eX0HOV-odClC4QCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200312_103909_875.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-ywjsujyXbt8/Xmn9yuW3KBI/AAAAAAAAIZw/iEICejG1eRsmzY0GdWyYW2rqs4j36XULgCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200312_103918_833.jpg)
Mazungumzo yakiendelea kuelezea msimu wa Mbio za Ngorongoro min Marathon za mwaka huu April 19 wilayani Karatu picha na Ahmed Mahmoud Arusha
Na Ahmed Mahmoud Arusha .
Msimu wa mbio za Ngorongoro mwaka 2020...
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Mashindano ya Tigo Igombe Marathon yafana mjini Tabora
10 years ago
Dewji Blog02 Mar
Mashindano ya Tigo Kili Half Marathon yafana mjini Moshi
Kaimu Meneja wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo Cecile Tiano (wa pili) kushoto, akiwa katika picha na baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo kabla ya kuanza kwa mashindano ya Tigo Kili Half Marathon iliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ushirika Mjini Moshi.
Washindi wa mashindano ya Tigo Kili Marathon, kwa upande wa Wanawake, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, katika mashindano hayo yaliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika...