Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTANZANIA ALIESHIRIKI MASHINDANO YA NEW YORK MARATHON

  Kirimia Kilenga ni Mtanzania anaeshiriki mashindano ya New York Marathon na kufanikisha kumaliza mbio hizo ndefu na kisha kujipatia medal ya ushirikia, Kirimia mwenye makazi yake katika jiji la New York alifanikisha kumaliza mbio hizo zilizoshirikisha watu zaidi ya Mil 50. NYC Marathon ni maarufu duniani zinazofanyika kila mwaka katika jiji la New York kupitia miji tano ya ndani miji hiyo ujulikanayo kama 5 boroughs ambayo ni Brooklyn, Bronx, Queens, Manhattan, na Staten Island huku ...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mtanzania ang’ara Uhuru Marathon

Dar es Salaam. Mwanariadha, Jacqueline Juma alipeperusha vema bendera ya Tanzania jana kwenye mbio za Uhuru Marathon baada ya kutwaa medali ya dhahabu katika nusu marathon (km 21).

 

9 years ago

BBCSwahili

Wakenya watawala mbio za New York Marathon

Wakenya Stanley Biwott na Mary Keitany walishinda mbio za wanaume na wanawake katika mbio za New York Marathon zilizoandaliwa Jumapili.

 

10 years ago

Michuzi

NSSF yang'ara mashindano ya mbio za Kilimanjaro marathon

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeshiriki kwenye Mbio za nyika za zinazoendelea kuwa maarufu mwaka hadi mwaka Kilimanjaro ambazo zimefanyika kwa mwaka wa 13 mfululizo. 
 NSSF ilishiriki ikiwa kama mdhamini wa mbio za KM 5 ambazo zilishirikisha washiriki zaidi ya 3500. Pamoja na udhamini huo NSSF ilipata nafasi ya kutoa elimu kwa wakazi mbalimbali wa Mkoa wa kilimanjaro walioshiriki na kutembelea kwenye banda lao.Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia) akishiriki kwenye mbio za Kilimanjaro. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia)...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya Tigo Igombe Marathon yafana mjini Tabora

  Wanariadha wakianza mbio za Igombe Marathon zilizo dhaminiwa na Tigo, mjini Tabora. Mgeni rasmi, Mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, Bw.Suleiman Kumchaya (katikati na track suit ya samawati), akiwaongoza wanariadha katika mbio za Tigo Igombe Marathon.


  Mgeni rasmi wa Tigo Igombe Marathon, Bw.Suleiman Kumchaya, Mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, akiwahutubia washiriki wa mbio hizo (hawapo pichani), kulia kwake ni Bw.Kamara Kalembo, Meneja masoko kanda ya Ziwa kutoka Tigo, na Kushoto ni OCD wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya Tigo Kili Half Marathon yafana mjini Moshi

1

Kaimu Meneja wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo Cecile Tiano (wa pili) kushoto, akiwa katika picha na baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo kabla ya kuanza kwa mashindano ya Tigo Kili Half Marathon iliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ushirika Mjini Moshi.

2

Washindi wa mashindano ya Tigo Kili Marathon, kwa upande wa Wanawake, wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, katika mashindano hayo yaliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Chuo cha Ushirika...

 

11 years ago

GPL

MO FARAH AZIRAI, MKENYA GEOFFREY MUTAI AKISHINDA MBIO ZA NEW YORK MARATHON

Mo Farah akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuzirai. ...Farah akiinuliwa kutoka eneo la tukio. Wa kwanza kushoto ni mshindi Geoffrey Mutai na wa pili kulia ni mshindi wa tatu Stephen Sambu.…

 

10 years ago

GPL

MFANYAKAZI WA GLOBAL PUBLISHERS ALIVYOSHIRIKI MASHINDANO YA SERENGETI MARATHON MKOANI SIMIYU

Mfanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Jimmy Haroub (wa kwanza kushoto) baada ya kumaliza mbio za kilomita 21 za Serengeti Marathon mkoani Simiyu hivi karibuni.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani