Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaopinga ubunge Tabora Mjini kulipia milioni 9/-

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tabora imewataka wananchi wanne waliofungua kesi ya kupinga matokea ya uchaguzi ya ubunge katika Jimbo la Tabora Mjini, kulipia Sh milioni tisa kama dhamana ndipo shauri hilo lisikilizwe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Chadema wachuana ubunge Tabora Mjini

WANACHAMA watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kuingia katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa katika Ukawa kuwania ubunge jimbo la Tabora Mjini.

 

9 years ago

Vijimambo

UPDATES: MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA SHINYANGA MJINI INASEMEKANA AMETEKWA NA KUNYANG’ANYWA FOMU YA UBUNGE

Kwa taarifa za mwanzo zunasena kuwa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga mjini na m/kiti BAVICHA Taifa, ndugu Patrobas Katambi inasemekana ametekwa muda mfupi uliopita na watu wasiojulikana na kunyang'anywa fomu zake za ubunge.
Chanzo chetu kilijaribu kuzungumza na mwenezi wa jimbo hilo ili kuthibitisha tukio hilo lakini pia simu ya mgombea ilikuwa haipatikani.
Chanzo chetu kimeongea na Mbunge Rachel Mashishanga sasa hivi na kuthibitisha tukio hilo.

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

Chanzo:...

 

10 years ago

GPL

ZAHARA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUM, TABORA

Ankal akifurahi na binti yake Zahara siku ya Maulid maalumu ya kusherehekea kuhitimu digrii ya Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma mwaka jana. Hii ndiyo siku ambayo Zahara aliweka nia hadharani kwamba angependa kugombea Ubunge mkoani TABORA  ili kumuenzi marehemu mama yake kwa kuwatumikia wananchi wa mkoa huo kwa moyo wake wote.
Zahara akifurahi na Mama yake mlezi…
...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vita vya ubunge vyaimega CCM Tabora

VITA vya kuwania kiti cha ubunge wa Tabora Mjini katika uchaguzi mkuu wa 2015, imepamba moto na kukimega Chama Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Tabora Mjini. Mgogoro huo ambao unazidi...

 

11 years ago

Habarileo

Takukuru Tabora waokoa milioni 107/-

JUMLA ya Sh milioni 107, zimeokolewa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani Tabora, ambazo zilikuwa zitumike katika manunuzi hewa kwenye ofisi mbali mbali za Serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Lipumba : Sigombei ubunge Temeke wala Tabora

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema hana mpango wa kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu kama ambavyo imekuwa ikidaiwa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mjue kwa undani Zahara M. Michuzi Ubunge viti maalum Tabora

Na Jeff Msangi  wa TBN Ughaibuni

Nyota njema huonekana asubuhi. Bila shaka umewahi kusikia msemo huu. Kwa Zahara Muhidini Issa Michuzi, nyota yake njema ni tunu ya uongozi. Tangu alipoweza kutambua maana na tofauti ya jambo jema na baya, amekuwa kiongozi.

Muhtasari wa maisha yake unaonyesha alizaliwa mnano tarehe 2 Septemba mwaka 1987 Nzega mkoani Tabora. Amesomea katika shule zifuatazo;

*Shule Ya Msingi Rufita, Tabora- 1995-2001

*Shule Ya Sekondari Kazima, Tabora-2002-2005

*Shule Ya...

 

10 years ago

Michuzi

BINTI YETU AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU (VIJANA) MKOANI TABORA

 Zahara Muhidin Michuzi akiweka sahihi katika kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana.Binti huyo wa Michuzi mara baada ya kuhitimu elimu yake ya shahada yake ya uchumi UDOM ameona ni vyema akawatumikia wananchi wa nyumbani kwake mkoani Tabora kwa kutangaza nia ya kugombea ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Zahara Michuzi (kushoto) na Mwasham Hashim (kulia) karani wa UVCCM Tabora akitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani