Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni gharika kwa watu zaidi ya 50 sakata la Escrow

>Moto wa kashfa ya ufisadi katika akaunti ya Tegeta Escrow unaoendelea kuwaka bungeni, sasa unaonekana kugeuka gharika inayoweza kuwakumba vigogo wengi zaidi na kuiweka Serikali ya Rais Jakaya Kikwete katika hali ngumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Maafa zaidi ya gharika Dar

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimesababisha baadhi ya nyumba kumezwa na mafuriko kama inavyoonekana katika picha hii.MAAFA zaidi yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha kwa zaidi ya saa 48 mfululizo jijini Dar es Salaam, yameendelea kutokea ambapo mbali na vifo vya watu watano, mamia ya nyumba zimefunikwa na maji.

 

10 years ago

Vijimambo

GHARIKA YA WATU YASHUHUDIA UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume  kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA ATOA USHAURI KWA KATIBU MKUU KIONGOZI KUWASIMAMISHA MARA MOJA VIONGOZI WALIOTAJWA KWENYE SAKATA LA ESCROW .

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa amebeba maji kwenye madumu aliposhiriki umwagiliaji maji katika shamba la nyanya la vijana wajasiriamali wa CCM katika Kijiji cha Nkulabi, Kata ya Mpunguzi, Jimbo la Dodoma Mjini leo wakati wa ziara yake,Kinana yupo mkoani Dodoma kwa ziara ya siku tisa ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi, kuimarisha uhai wa chama na kusikiliza kero za wananchi pamoja na kuzitafutia ufumbuzi.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimwagilia maji zao la...

 

9 years ago

Dewji Blog

Zaidi ya watu 120 wameuwa baada ya tukio la kuvamiwa kwa jiji la Paris na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi

JS76579997Vikosi vya uokoaji wakiendelea na kutoa huduma wakati wa tukio hilo usiku wa kuamkia leoo katika jiji la Paris, nchini Ufaransa.

Na Rabi Hume, Modewjiblog na Mashirika ya Habari 

[PARIS] Watu zaidi ya 120 wameuwa na watu wanaodhaniwa kuwa magaidi baada ya kuvamia jiji la Paris, Ufaransa nje ya uwanja wa uliokuwa ukichezwa mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani (Stade de France).

Ripoti zinasema wakati mchezo huo ukiendelea ilisikika milio ya mabomu matatu (3)  yakilia nje ya...

 

10 years ago

Vijimambo

HAYA NDIO BAADHI YA MAAZIMIO YALIYOSABABISHA BUNGE KUAHIRISHWA KWA KUPINGA BAADHI YA MAADHIMIO YA KUWALINDA WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW



MAAZIMIO
Pendekezo la kwanza la kumkamata na kumfilisi bwana Seth lina marekebisho ya serikali, naibu waziri wa Sheria anasema haiwezekani

Pendekezo la pili kuhusu Rugemalira, serikali imeweka marekebisho kuhusu uhalali wa pesa za Rugemalira alizogawa

Azimio la TATU limerekebishwa kuwa waliopokea pesa wachunguzwe na kuchukuliwa hatua mahususi kwa mujibu wa sheria

Pendekezo la NNE. Kamati inazitaka mamlaka kuzitangaza benki za Mkombozi na Stanbic kama asasi za utakatishaji fedha
Azimio la 4...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata la Escrow

Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow bado inafukuta nchini Tanzania.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda afunguka sakata la Escrow

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema taarifa nyingi za mjadala wa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ambao unaendelea bungeni, umeongezwa chumvi na wakati ukifika Watanzania watatolewa taarifa kamili.

 

10 years ago

Mwananchi

Lissu amtaja JK sakata la escrow

Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu amemtaja Rais Jakaya Kikwete kuwa sehemu ya mgogoro mzima wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL tangu ilipoingia nchini mwaka 1994.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani