Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GHARIKA YA WATU YASHUHUDIA UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume  kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

CCM yazindua rasmi kampeni ya kugombea Urais Zanzibar

znz1

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala  Dkt. Ali Mohamed Shein wakionesha ilanui ya Uchaguzi ya CCM jana wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais mbele ya umati mkubwa sana katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja.

znz3

znz2

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt....

 

9 years ago

Michuzi

CCM YAZINDUA RASMI KAMPENI YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR MJINI UNGUJA


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala Dkt. Ali Mohamed Shein  akihutubia  wakati wa uzinduzi wa kampeni za Urais  katika uwanja wa Kibandamaiti mjini Unguja. Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Mgombea wa Rais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho tawala  Dkt. Ali Mohamed Shein wakionesha ilani ya Uchaguzi ya CCM mbele ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR. YAPITISHA JINA LA DK SHEIN KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM.

WAJUMBE wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandua kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein,MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana kupitisha Jina la Mgombea wa Urais wa Zanzibar.VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa wamesimama baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano.NAIBU Katibu...

 

9 years ago

Vijimambo

MH. HAMAD RASHID AFUNGUA KAMPENI ZA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CHAMA CHA ADC KISIWANI PEMBA

 Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC (DAIADAIA) Mhe Rashid Hamad akihutubia umati wakati akizindua rasmi kampeni za chama hicho katika kiwanja cha Gombani ya Kale Kisiwani Pemba na kunadi sera zake Sehemu ya umati wa wananchi ukimsikiliza  Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC (DAIADAIA) Mhe Rashid Hamad akihutubia umati wakati akizindua rasmi kampeni za chama hicho katika kiwanja cha Gombani ya Kale Kisiwani Pemba na kunadi sera zakeSehemu ya umati wa wananchi...

 

9 years ago

Michuzi

Mkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi Zanzibar


Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya mkutano Bungi akiwapungia mkono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Kampeni katika viwanja vya mpira Bungi akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai . Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar  kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein. uliofanyika katika viwanja vya bungi.Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni  Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).

2

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani