Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHUCHU AZIRAI NDANI YA JENEZA

IMELDA MTEMA/Amani HII ni kali ya mwaka! Staa wa sinema za Bongo, Chuchu Hans amejikuta akizirai ndani ya jeneza wakati akiigiza sini ya kifo kwenye filamu, Amani limeinyaka. Staa wa sinema za Bongo, Chuchu Hans akiwa kwenye jeneza. Chuchu alikumbwa na hali hiyo hivi karibuni akiwa ‘lokesheni’ ya kuigizia filamu hiyo maeneo ya Mbezi ya Kimara jijini Dar es Salaam ambapo sanjari na yeye, msanii mwingine aliyecheza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale: Chuchu Azirai Ndani ya Jeneza!

Chuchu Hans amejikuta akizirai ndani ya jeneza wakati akiigiza sini ya kifo kwenye filamu. Chuchu alikumbwa na hali hiyo hivi karibuni akiwa ‘lokesheni’ ya kuigizia filamu hiyo maeneo ya Mbezi ya Kimara jijini Dar es Salaam ambapo sanjari na yeye, msanii mwingine aliyecheza nafasi ya mwanakwaya naye alipoteza fahamu wakati kipande hicho kikirekodiwa.

Chanzo kimoja kutoka ndani ya kundi la wasanii waliokuwa wakiigiza filamu kililiambia Gazeti la Amani  kuwa, Chuchu alikumbwa na hali hiyo...

 

10 years ago

Bongo5

Vituko vya Valentine’s day: Ndoa zafungwa kwa staili yake ndani ya jeneza siku ya wapendanao! (Picha)

Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa siku ya Jumamosi Feb.14 katika siku ya wapendanao Valentine’s day, ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand. Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao. Chanzo: Daily Mail

 

10 years ago

Bongo Movies

HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka

Inasemekana penzi kati ya waigizaji  Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.

Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.

Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bafetimbi Gomis azirai uwanjani

Mshambuliaji wa kilabu ya Swansea Bafetimbi Gomis alianguka na kuzirai uwanjani,katika mechi dhidi ya Totenham

 

11 years ago

GPL

MO FARAH AZIRAI, MKENYA GEOFFREY MUTAI AKISHINDA MBIO ZA NEW YORK MARATHON

Mo Farah akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuzirai. ...Farah akiinuliwa kutoka eneo la tukio. Wa kwanza kushoto ni mshindi Geoffrey Mutai na wa pili kulia ni mshindi wa tatu Stephen Sambu.…

 

10 years ago

Vijimambo

GWAJIMA AZIRAI AKIHOJIWA NA POLISI, NI KUFUATIA MANENO YA KASHFA DHIDI YA KADINALI PENGO

Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima, Josephat Gwajima, akiwa amelazwa kwenye hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam leoGwajima akizungumza na waandhishi wa habari alipowasili kituo kikuu cha polisi kati jijini Dar es Salaam Ijumaa Machi 27, 2015, kufuatia polisi kumtaka ajisalimishe mwenyeweGwajima, wakili wake, wafuasi na walinzi wake wakielekea kituo kikuu cha polisi kati Ijumaa Machi 27, 2015Gwajima kabla ya kuzirai
Kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amezirai Ijumaa...

 

11 years ago

Michuzi

MKE AZIRAI BAADA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITANO YEYE NA MUMEWE

Asia Hamisi akiwa amezirai mahakamani
baada ya kuhukumiwa miaka mitano jela
Watu wawili wa familia moja Frank Charles na mkewe Asia Khamis wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya shilingi milioni moja kila mmoja kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi. Hakimu wa mahakama ya wilaya ya Mbeya Maria Batulaine amewatia hatiani wanandoa hao baada ya  kuridhishwa na ushahidi usio shaka wa mashahidi wanne wa upande wa mashitaka. Imedaiwa na Mwendesha mashitaka...

 

11 years ago

GPL

BIBI KIZEE AJIANDALIA JENEZA!

Stori: Mwandishi Wetu, Songea
Mkazi wa Kijiji cha Lundusi, Kata ya Peramiho, wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma, Bibi Scholastica Mhagama amejiandalia jeneza lake ambalo litatumika kumzikia siku atakayoaga dunia. Bibi Scholastica Mhagama(76) ambaye amejiandalia jeneza lake litakalotumika kumzikia. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Scholastica alisema alilitengeneza jeneza hilo zaidi ya miaka mitano...

 

11 years ago

Mwananchi

Christos: Alikesha kuchonga jeneza la Sokoine

 Miongoni mwa Watanzania wenye matukio ya kukumbuka katika uhai na kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, hayati Edward Moringe Sokoine ni George Christos (81)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani