Bafetimbi Gomis azirai uwanjani
Mshambuliaji wa kilabu ya Swansea Bafetimbi Gomis alianguka na kuzirai uwanjani,katika mechi dhidi ya Totenham
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLCHUCHU AZIRAI NDANI YA JENEZA
10 years ago
Bongo Movies26 Feb
Hapa na Pale: Chuchu Azirai Ndani ya Jeneza!
Chuchu Hans amejikuta akizirai ndani ya jeneza wakati akiigiza sini ya kifo kwenye filamu. Chuchu alikumbwa na hali hiyo hivi karibuni akiwa ‘lokesheni’ ya kuigizia filamu hiyo maeneo ya Mbezi ya Kimara jijini Dar es Salaam ambapo sanjari na yeye, msanii mwingine aliyecheza nafasi ya mwanakwaya naye alipoteza fahamu wakati kipande hicho kikirekodiwa.
Chanzo kimoja kutoka ndani ya kundi la wasanii waliokuwa wakiigiza filamu kililiambia Gazeti la Amani kuwa, Chuchu alikumbwa na hali hiyo...
11 years ago
GPLMO FARAH AZIRAI, MKENYA GEOFFREY MUTAI AKISHINDA MBIO ZA NEW YORK MARATHON
10 years ago
VijimamboGWAJIMA AZIRAI AKIHOJIWA NA POLISI, NI KUFUATIA MANENO YA KASHFA DHIDI YA KADINALI PENGO
Kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amezirai Ijumaa...
11 years ago
Michuzi06 May
MKE AZIRAI BAADA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITANO YEYE NA MUMEWE
baada ya kuhukumiwa miaka mitano jela
Watu wawili wa familia moja Frank Charles na mkewe Asia Khamis wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya shilingi milioni moja kila mmoja kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi. Hakimu wa mahakama ya wilaya ya Mbeya Maria Batulaine amewatia hatiani wanandoa hao baada ya kuridhishwa na ushahidi usio shaka wa mashahidi wanne wa upande wa mashitaka. Imedaiwa na Mwendesha mashitaka...
10 years ago
Dewji Blog05 Jun
Kureshy arejea uwanjani
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Kureshy Ufunguo (Kushoto) akioneshwa mipira inayofaa kwa ajili ya kufundishia watoto kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Isere Sports, Abbas Ally (Picha na Mpiga Picha Wetu.)
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars),Kureshy Ufunguo (Kulia) akipokea jezi kwa ajili ya kuanzisha shule ya mafunzo ya watoto wadogo.
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Isere Sports, Abbas Ally (Kulia) akimkabidhi vifaa...
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Tofauti zazikwa uwanjani TZ
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
11 years ago
Habarileo14 Jun
Wawakilishi wakerwa kupapaswa uwanjani
BAADHI ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameitaka Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu kuweka vifaa vya kisasa vya ukaguzi kwa abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar na kuacha tabia ya kuwakagua abiria kwa kuwapapasa mwili.