Wawakilishi wakerwa kupapaswa uwanjani
BAADHI ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameitaka Wizara ya Mawasiliano na Miundombinu kuweka vifaa vya kisasa vya ukaguzi kwa abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar na kuacha tabia ya kuwakagua abiria kwa kuwapapasa mwili.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
HabarileoMaaskofu wakerwa na wabunge
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Wakerwa na uzembe Moshi
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wadau wakerwa na Sh 1,200 DART
NAULI ya Sh 1,200 iliyopendekezwa na watoaji wa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka (UDA RT) imepingwa na wadau wa sekta ya usafiri, badala yake wameshauri iwe kati ya Sh 400 na 500 kutimiza malengo ya kusaidia wananchi wa kipato cha kawaida.
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Wakerwa shilingi kushuka thamani
10 years ago
Habarileo11 Apr
Wakerwa misaada kupokewa kisiasa
WAATHIRIKA wa mafuriko kata ya Lamadi Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, wameeleza kusikitishwa na misaada iliyotolewa na taasisi mbalimbali kupokewa kisiasa.
10 years ago
BBCSwahili29 Jan
Wanawake wakerwa na mauaji Misri
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Madiwani wakerwa uchakachuaji wa tumbaku
MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, wameelezea masikitiko yao kuhusu uchafuzi wa tumbaku unaofanywa na baadhi ya wakulima wasio waaminifu na kutaka itungwe sheria kukabiliana na uovu...
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Vodacom wakerwa na mzigo wa kodi
10 years ago
Habarileo26 Nov
Wakerwa wanafunzi kuwa vibarua
WANANCHI katika kijiji cha Karukekere wilayani Bunda, mkoani Mara, wamelalamikia kitendo cha wanafunzi wa Shule ya Msingi Karukekere, kudaiwa kufanyishwa kazi za vibarua vya kulima na kazi nyingine na walimu wa shule hiyo.