Wanawake wakerwa na mauaji Misri
Zaidi ya wanawake 100 wa Misri wameandamana mjini Cairo, kutaka uchunguzi ufanywe dhidi ya mauaji ya mkereketwa wa haki za kibinadamu, Shaimaa Sabbagh.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Polisi wa Misri watuhumiwa kwa mauaji
10 years ago
BBCSwahili13 Aug
Mubarak akana kuamrisha mauaji Misri.
11 years ago
BBCSwahili06 Jun
Ni uhalifu kuwanyanyasa wanawake - Misri
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ0KcrxhfCsaCphU09qmWrRz6O3QvYpT*sLUyniNZ5Zf6qe*rUIGzV9-ao3ED1a7eJZ53Io05ppctH2y5hI7UfZ5/kamandamzinga.jpg)
MAUAJI YA WANAWAKE NACHINGWEA YAENDELEA
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Mauaji ya kutisha dhidi ya wanawake
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Mkono aishukia serikali mauaji ya wanawake
MBUNGE wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono, ameishutumu serikali kwa kushindwa kudhibiti vitendo vya mauaji ya kikatili wanayofanyiwa wanawake katika baadhi ya vijiji vya Tarafa ya Nyanja huku akisema serikali imekuwa...
10 years ago
CloudsFM03 Dec
MBARONI WAKIHUSISHWA NA MAUAJI YA WANAWAKE DAR
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili wanaotuhumiwa kufanya vitendo vya utekaji, unyanyasaji wa kijinsia na mauaji ya wanawake.
Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu, Suleiman Kova alisema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema watuhumiwa hao wamehusishwa na vitendo hivyo baada ya upelelezi wa kina na wa kitaalamu uliosaidia kuwakamata wahalifu hao wakiwa na vielelezo mbalimbali.
Kova aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
BAWACHA walaani mauaji ya wanawake Mara
BARAZA la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), limelaani mauaji ya wanawake yanayofanywa na watu wasiofahamika maeneo mbalimbali ya Wilaya za Butiama na Musoma mkoani Mara huku Jeshi la Polisi likishindwa kuyadhibiti. Akiwahutubia...
10 years ago
StarTV03 Dec
Polisi Dar yashikilia watuhumiwa wa mauaji ya wanawake.
Na Immaculate Kilulya,
Dar Es Salaam.
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam linawashikilia watu wawili kwa makosa ya mauaji ya wanawake 11 baada ya kuwarubuni kimapenzi, kuwatilia dawa kwenye vinywaji na kisha kuwateka, kuwanyanyasa kijinsia na hatimaye kuwaua.
Watuhumiwa hao ambao ni Abubakar Aman na Ezekiel Kasenegala wamekiri kuhusika na mauaji ya aina hiyo katika kipindi cha miaka miwili yakiwemo mauaji ya hivi karibuni ya wasichana wawili wa Chuo cha Ukutubi Bagamoyo mkoani...